Jinsi gani unaweza kumtumia zawadi mtu aliye Marekani?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,568
48,693
Lipa jema kwa jema!

Naombeni ushauri ni jinsi gani ya kumtumia mtu alieko kwa Obama kazawadi kadogo?

Asanteni
 
ahahaaaa poa asante kwa msaada mkuu natuma kwa ems au ? unataka ubuyu gani wa zanzibar au wa dodoma?
No sio ems, posta kabisa wenyewe inafika.
Wa dodoma lakini ukapanda boat hadi Zanzibar nakuungwa kwa marashi ya karafuu.
 
Back
Top Bottom