Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Hello wakuu, napenda nitoe mrejesho wangu.
Kwanza nawashukuruni wote kwa comments zenu hakika zimenisaidia sana kuvuka kipindi kigumu, kwasasa nimeshamove on kabisa sina mpango na yule ex tena, pia nimejikeep busy kazini na masomo so niko busy na inanisaidia kutokua na mawazo hayo.

Nawashauri wengine wote kusema ya moyoni yanayowasibu ili wasaidike kuliko kukaa kimya mwenyewe.Tuendelee kusaidiana japo kwa mawazo tu ni nzuri, mbarikiwe wote
jiburudishe kidogo Sasa
JamiiForums1617963119.jpg
 
Habari wakuu.

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Pole mkuu
 
Back
Top Bottom