Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Nakuelewa sana tu mrembo

It takes a minute to get crush on someone, and hour to like someone and day to love someone, but it's takes a lifetime to forget someone.
Miaka minne imepita na sijui lini nitahamka bila mawazo ya yeye na mwanaye

Sio kwamba nina maumivu hapana ni ile hali ya kuwawaza tu
 
Back
Top Bottom