Jinsi gani tatizo la Uraibu wa Kamari limeharibu maisha yako upande wa kijamii, kiimani na kiuchumi?

Sitegemei KUACHA kubet, hasa FOOTBALL na basketball

Wanaofeli kwenye BETTING,
Wanafeli kwa kuifanya betting Kama mchezo wa kamari (yaani mchezo wa kubahatisha), Means hawawi serious enough na wanachokifanya.

Betting ukiifanya seriously kama kaz zingine, hutojutia kamwe
 
Tatizo ni tamaa na kukosa mitaji

Sitegemei KUACHA kubet, hasa FOOTBALL na basketball

Wanaofeli kwenye BETTING,
Wanafeli kwa kuifanya betting Kama mchezo wa kamari (yaani mchezo wa kubahatisha), Means hawawi serious enough na wanachokifanya.

Betting ukiifanya seriously kama kaz zingine, hutojutia kamwe
Hapo kuifanya serious kama kazi nyingine! Mbona watu wanachbua sana games lakini wakiweka mpunga tu hola
 
Sitegemei KUACHA kubet, hasa FOOTBALL na basketball

Wanaofeli kwenye BETTING,
Wanafeli kwa kuifanya betting Kama mchezo wa kamari (yaani mchezo wa kubahatisha), Means hawawi serious enough na wanachokifanya.

Betting ukiifanya seriously kama kaz zingine, hutojutia kamwe
Aya basi ebu uwe unanidondoshe odds 1.7 tuu kwa siku
 
Mtu anaeishi kwa kubet tayar amepotea maana anakua anategemea bahati afu kichwani anajaza mipango fake siku unakuja kugundua ela ulizoliwa ni nyingi kuliko ulizokula kwamba kanjibai amekulawiti ndio unapagawa unahisi umerogwa
 
Tatizo la uraibu (addiction) wa kamari linaendelea kukua siku baada ya siku kwa vijana wengi wa Kiafrika hususani Tanzania. Makampuni ya kamari yanakimbilia sana katika mataifa ya kiafrika ambako umaskini umetamalaki kuja kuwekeza huku wakilenda soko lao kubwa kuwa ni vijana.Vijana ambao wana ndoto ya kupambana na kuondokana na umasikini.

Hali hii imekuwa kinyume kwani wengi wa vijana hao wameendelea kupoteza pesa kila kukicha kitendo kinachowapelekea kupata msongo wa mawazo,kutokujiamini, wasiwasi na pia kupoteza dira kiuchumi.

Vijana wengi wamekuwa wakificha tatizo hili katika familia zao au kwa marafiki zao yaani ni kama vile waraibu wa madawa ya kulevya wasivyotaka kujulikana kuwa wana matatizo ya ulevi wa madawa ya kulevya.

Karibu katika uzi huu ueleze matatizo unayokumbana nayo katika Kamari (betting) na pia waliofanikiwa kuacha tatizo hili waeleze njia walizotumia kufanikiwa kuacha.

Asanteni na karibuni.
Usi bet kabisa. Ukishazoea na tamaa juu za kushindwa, kutoka ngumu. Kama wewe sio mtu wa ku bet, usianze kabisa. Kuna simu nilikwenda casino na$200, nikapata $ 400. Nikaenda nyumbani na furaha sana. Next weekend tukaenda tena, nikaanza na $200 tena, ikaliwa yote kama dakika 8 tuu. Nikaondoka, sijawahi tena kucheza, ilikuwa mwanzo na mwisho
 
Kila mkamaria amejawa na tamaa (greedy) inashangaza watu kusema usibeti kwa tamaa unajiuliza yeye kaenda Casino kufanyaje kama sio tamaa za kupata pesa zaidi?

Kuna mtu anaenda casino kwa ajili ya kupata tu free meals n drinks kisha aondoke home?
 
Back
Top Bottom