Jinsi gani nitaweza kuhifadhi njegere muda mrefu bila kutumia friji?

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,546
2,618
Wakuu heri ya mwaka mpya naombeni msaada mwenye utaalamu wa kuhifadhi njegere muda mrefu kama mwezi au wiki mbili bila kutumia fridge anipe maujanja maana fridge uchumi haurusu kwa sasa nimechoka kuharibikiwa njegere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wiki mbili, uwe unanunua zilizo na maganda ukitaka kupika ndio unazimenya zikibaki kwenye maganda zinasogea sogea,
Pia uweke sehemu ya wazi uzitandaze usiziweke kwenye mfuko.
 
...
mbona zipo njegere kavu, au ni suala la mapishi na vitamini?
...
 
Ila ukizifreeze unaweza kutumia miezi

Unless otherwise usizimenye
 
Usinunue nyingi, nunua kidogo kidgo kila unapohitajj, mwache mwenye genge akutunzie


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom