Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

Heshima gani?

Jimbo la florida lina vyuo vikuu vikubwa viwili vyenye heshima kubwa... ambavyo ni university of Florida ambayo wanafunzi wake na alumni wanaitwa gators na florida state university ambayo wanafunzi wake na alumni wanaitwa seminoles..

Marekani wana ligi za michezo za vyuo vikuu.. sasa hao mashabiki wa gators na seminoles wana heshimika sana balaa lao.. pia hivyo vyuo vina heshima sana kwenye utafiti
 
Georgia Bulldog for life
 
Hapana Nahmala sipo Minnesota kwa sasa nilirejea Tanzania wakati Corona ndio imeanza kupamba moto.

Kwa baridi Minnesota ni kiboko nilikuwa najaribu kucheza mpira na washikaji kwenye ice wenyewe wametoka Brazil, S.Korea na India wamezoea hali ile nilikuwa naona naweza kurudisha namba kwa Mungu sio muda na sikutaka kujitenga😂

Huyu mdogo wetu kwa alichokisoma akafungue M-pesa tu au akomae na ushauri aliopewa hapo juu na EllySkyWilly
Sasa nilitegemea umekaa Ughaibuni utakuwa na ushauri mzuri kumbe bado una akili za Kibongo bongo,sasa ndo ushauri gani huo wa kufungua Mpesa?
 
Kwa ulichokisoma A-level mdogo wangu anza tu kutafuta hela uendeshe maisha yako!

Hakuna sponsor atakufadhili ukasome kozi za sanaa labda awe nduguyo.
Nisikuvunje moyo sana kuna shirika la ki-israel (lakidini) kila mwaka hufadhili wanafunzi kwenda Minnesota kusoma na mimi ni mmoja wa wanufaika.

Kwa taarifa zaidi usinijie PM nenda SUA utapata taarifa zote kuwahusu na huenda ukawa na nyota ukafanikiwa licha ya sanaa yako.
Mkuu naomba nije PM kwako.
 
Ndiyo maana hata mimi nimemuuliza hayo maswali mawili hapo juu. Kama anajilipia hakuna tatizo tena nitamuunganisha na watu wa admission na kumpatia info zote anazohitaji.

Bado uko Minnesota mkuu? Libaridi hilo limewaanza. Niliwahi kufika huko wakati wa Winter nikakimbia asubuhi na mapema na kuapa kutorudi tena. Si kwa baridi ile aisee. Yaani makende mpaka yanapotea duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Shimba naomba nije PM kwako mkuu.
 
Hivi wamarekani wanashabikia utopolo a mnyama??? Au sisi tu ndo tunajipendekeza

Michezo ni entertainment ndio maana tunashabikia timu za ulaya na america.. kwanza hata mpira hatujagundua sisi.. ni utamaduni wa watu...

Ushabiki ni kwa burudani tu...Ndio maana timu za nje kama manchester, liverpool zina mashabiki wengi Tanzania...huku wao wanaoishi huko manchester hawazijui simba wala yanga
 
I don't like that typing style!
Mkuu ni vitu gani vya muhimu vinahitajika ili kuingia U.S. Cause nilijaribu sana kuingia U. S kwa scholarship lkn scholarship zake huwa sizielewagi kabisa. Japo nilifanikia kuingia U. K kwa Commonwealth scholarship lakini U. S imenigomea kabisa.
 
kwanini huyo sponsor asikulipe ada usomee hapahapa bongo uanze diploma ya masomo ya biashara?
Alafu pia usisomee political science, soma biashara itakufungua angalau akili hata ya kuendesha maisha yako political sayansi itakufanya uwe mpiga kelele tu.
Exposure muhimu babu
 
Minnesota ya nchi gani?
Hapana Nahmala sipo Minnesota kwa sasa nilirejea Tanzania wakati Corona ndio imeanza kupamba moto.

Kwa baridi Minnesota ni kiboko nilikuwa najaribu kucheza mpira na washikaji kwenye ice wenyewe wametoka Brazil, S.Korea na India wamezoea hali ile nilikuwa naona naweza kurudisha namba kwa Mungu sio muda na sikutaka kujitenga

Huyu mdogo wetu kwa alichokisoma akafungue M-pesa tu au akomae na ushauri aliopewa hapo juu na EllySkyWilly
 
Mkuu ni vitu gani vya muhimu vinahitajika ili kuingia U.S. Cause nilijaribu sana kuingia U. S kwa scholarship lkn scholarship zake huwa sizielewagi kabisa. Japo nilifanikia kuingia U. K kwa Commonwealth scholarship lakini U. S imenigomea kabisa.
Hizo za common wealth ndiyo zikoje?
 
Back
Top Bottom