Habarini wanaJF,
Mimi ni mhitimu wa kidato chasita mwaka 2017 lengo la kuja hapa mbele yenu ni kuomba ushauri kwa wenye experience ya kusoma nchini USA kwa maana mwakani nataka nijiunge katika chuo mojawapo hasa katika state ya FLORIDA advance na secondary nmesoma masomo ya arts HKL na matokeo yangu ni ya wastani, division 2, for both secondary na primary. Je, hii haitoathiri application yangu?
Napenda nifahamu vigezo gan wanazingatia ili kusajili international students maana nmeskia tu kuna baadhi ya tests inabidi nzifanye kama TOEFL, ACT, SAT, GRE na mingineyo, nahitaji nijiunge either in diploma in business au kozi za social science.
Nakaribisha maoni na msaada wenu pia