Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Habari wakuu,
Kwa wale waliobahatika kupata elimu ya sekondari bila shaka walijifunza kitu kinachoitwa Newton's law of motion ambazo ziko tatu:First Newton's law of motion, second law na third law.
Hapa interest yangu ni Newton"s first law of motino ambayo inasema:
Everybody will continue in its state of rest or uniform motion in a straight line unless compelled by some external forces to act otherwise.
Simple explanation:
Kitu chochote kitabaki mahala kilipo mpaka pale itakapotokea nguvu ya kukiondoa kwa maana ya kukisukuma, kukibeba, n.k na pia kama kitu hicho kiko katika mwendo, basi kitu hicho kitandelea katika spidi ile ile na uelekeo ule ule mpaka itokee nguvu ya kukifanya kibadili spidi yake na uelekeo wake.
Ni namna gani sheria hii ya Newton inaweza kuwa modified na kutumika kueleza madikteta duniani.
Si vinginevyo bali ni hivi:
Every dictator will continue with his actions of killing, torturing, abduction, oppression, violating country constitution,etc,unless he is compelled by some external forces to act otherwise or change his behaviour.
Kama upo mfano wa dikteta duniani aliewahi kuacha udikteta wake bila kushinikizwa au kuondolewa madarakani, basi nitafuta hayo maneno yangu hayo hapo juu, lakini kama hakuna,na kama ambavyo mimi binafsi naamini,basi nakuomba utafakari hayo maneno yangu.
Huhitaji kufanya research wala uchunguzi wa aina yoyote ile kuthibitisha ukweli huu zaidi tu ya kusoma historia ya madiketa duniani.