Jinsi gani Newton's fitst law of motion inavyoweza kutumika kuelezea madikteta duniani na tabia zao

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,986
144,313
Habari wakuu,

Kwa wale waliobahatika kupata elimu ya sekondari bila shaka walijifunza kitu kinachoitwa Newton's law of motion ambazo ziko tatu:First Newton's law of motion, second law na third law.

Hapa interest yangu ni Newton"s first law of motino ambayo inasema:

Everybody will continue in its state of rest or uniform motion in a straight line unless compelled by some external forces to act otherwise.

Simple explanation:

Kitu chochote kitabaki mahala kilipo mpaka pale itakapotokea nguvu ya kukiondoa kwa maana ya kukisukuma, kukibeba, n.k na pia kama kitu hicho kiko katika mwendo, basi kitu hicho kitandelea katika spidi ile ile na uelekeo ule ule mpaka itokee nguvu ya kukifanya kibadili spidi yake na uelekeo wake.

Ni namna gani sheria hii ya Newton inaweza kuwa modified na kutumika kueleza madikteta duniani.

Si vinginevyo bali ni hivi:

Every dictator will continue with his actions of killing, torturing, abduction, oppression, violating country constitution,etc,unless he is compelled by some external forces to act otherwise or change his behaviour.

Kama upo mfano wa dikteta duniani aliewahi kuacha udikteta wake bila kushinikizwa au kuondolewa madarakani, basi nitafuta hayo maneno yangu hayo hapo juu, lakini kama hakuna,na kama ambavyo mimi binafsi naamini,basi nakuomba utafakari hayo maneno yangu.

Huhitaji kufanya research wala uchunguzi wa aina yoyote ile kuthibitisha ukweli huu zaidi tu ya kusoma historia ya madiketa duniani.
 
We jamaa naomba nikuulize swali...HIVI CHADEMA wamekuajili???
Daah jamaa naona maisha yako ni JF...wewe haijawahi pita siku wala sekunde haujaandika UHARO humu ndani??
Sasa nimeanza kuamini kuna kakikundi humu maususi kuajili ya KUANDIKA UCHOCHEZI.....
Ebu acha kutumiwa na KINA MBOWE....unapoteza mkuu......Fanya kazi zilizo HALALI achana na kazi za KULETA UCHOCHEZI.......Ogopa sana damu za watu zitakapo kuja kumwagika kwa sababu ya UPUUZI wako....
Huu wimbo wa dikteta dikteta mataimba mpaka lini?????HIVI MNAWAJUA MADIKTETA KWELI???...susingepata muda wa kuwa unashinda JF kuandika UHARO
 
Mkuu vipi? Mbona dizain Kama povu limekutoka? Sasa CHADEMA imefikaje hapo? Naona jiwe limegonga mahala pake! Mtajukikana tu!
 
We jamaa naomba nikuulize swali...HIVI CHADEMA wamekuajili???
Daah jamaa naona maisha yako ni JF...wewe haijawahi pita siku wala sekunde haujaandika UHARO humu ndani??
Sasa nimeanza kuamini kuna kakikundi humu maususi kuajili ya KUANDIKA UCHOCHEZI.....
Ebu acha kutumiwa na KINA MBOWE....unapoteza mkuu......Fanya kazi zilizo HALALI achana na kazi za KULETA UCHOCHEZI.......Ogopa sana damu za watu zitakapo kuja kumwagika kwa sababu ya UPUUZI wako....
Huu wimbo wa dikteta dikteta mataimba mpaka lini?????HIVI MNAWAJUA MADIKTETA KWELI???...susingepata muda wa kuwa unashinda JF kuandika UHARO
Khaaa!wewe naye nahisi utakuwa una tatizo kwenye ubongo wako hao kina Mboe na Chadema wameingiaje humu?
 
We jamaa naomba nikuulize swali...HIVI CHADEMA wamekuajili???
Daah jamaa naona maisha yako ni JF...wewe haijawahi pita siku wala sekunde haujaandika UHARO humu ndani??
Sasa nimeanza kuamini kuna kakikundi humu maususi kuajili ya KUANDIKA UCHOCHEZI.....
Ebu acha kutumiwa na KINA MBOWE....unapoteza mkuu......Fanya kazi zilizo HALALI achana na kazi za KULETA UCHOCHEZI.......Ogopa sana damu za watu zitakapo kuja kumwagika kwa sababu ya UPUUZI wako....
Huu wimbo wa dikteta dikteta mataimba mpaka lini?????HIVI MNAWAJUA MADIKTETA KWELI???...susingepata muda wa kuwa unashinda JF kuandika UHARO
Lazima bongo yako imejaa maji ya madafu. CDM imetajwa wapi hapo?
 
JamiiForums naomba hii mada muirudishe jukwaa la siasa naamini huko ndio hasa kunakostahili as long as hapa nimeongelea madikteta.
 
We jamaa naomba nikuulize swali...HIVI CHADEMA wamekuajili???
Daah jamaa naona maisha yako ni JF...wewe haijawahi pita siku wala sekunde haujaandika UHARO humu ndani??
Sasa nimeanza kuamini kuna kakikundi humu maususi kuajili ya KUANDIKA UCHOCHEZI.....
Ebu acha kutumiwa na KINA MBOWE....unapoteza mkuu......Fanya kazi zilizo HALALI achana na kazi za KULETA UCHOCHEZI.......Ogopa sana damu za watu zitakapo kuja kumwagika kwa sababu ya UPUUZI wako....
Huu wimbo wa dikteta dikteta mataimba mpaka lini?????HIVI MNAWAJUA MADIKTETA KWELI???...susingepata muda wa kuwa unashinda JF kuandika UHARO

pole mkuu hii ndo ubaya wa kurusha jiwe gizani hakujua kama atakupata wewe ila amekuomba utafakari acha jazba tupe maono yako mkuu
 
We jamaa naomba nikuulize swali...HIVI CHADEMA wamekuajili???
Daah jamaa naona maisha yako ni JF...wewe haijawahi pita siku wala sekunde haujaandika UHARO humu ndani??
Sasa nimeanza kuamini kuna kakikundi humu maususi kuajili ya KUANDIKA UCHOCHEZI.....
Ebu acha kutumiwa na KINA MBOWE....unapoteza mkuu......Fanya kazi zilizo HALALI achana na kazi za KULETA UCHOCHEZI.......Ogopa sana damu za watu zitakapo kuja kumwagika kwa sababu ya UPUUZI wako....
Huu wimbo wa dikteta dikteta mataimba mpaka lini?????HIVI MNAWAJUA MADIKTETA KWELI???...susingepata muda wa kuwa unashinda JF kuandika UHARO
Kwani TANZANIA TUNA DIKTETA?.or hiyo law ya madikteta IPO dunian??
Freedom of speech!
 
We jamaa naomba nikuulize swali...HIVI CHADEMA wamekuajili???
Daah jamaa naona maisha yako ni JF...wewe haijawahi pita siku wala sekunde haujaandika UHARO humu ndani??
Sasa nimeanza kuamini kuna kakikundi humu maususi kuajili ya KUANDIKA UCHOCHEZI.....
Ebu acha kutumiwa na KINA MBOWE....unapoteza mkuu......Fanya kazi zilizo HALALI achana na kazi za KULETA UCHOCHEZI.......Ogopa sana damu za watu zitakapo kuja kumwagika kwa sababu ya UPUUZI wako....
Huu wimbo wa dikteta dikteta mataimba mpaka lini?????HIVI MNAWAJUA MADIKTETA KWELI???...susingepata muda wa kuwa unashinda JF kuandika UHARO
Unadhani wanao mpinga wapo chadema pekee?
 
Back
Top Bottom