Jinsi gani NECTA wanapanga shule kulingana na ufaulu wao?

computerkiddy

JF-Expert Member
Oct 1, 2015
488
532
Wakuu habari zenu,

Natafuta jinsi ambavyo NECTA wanapanga mashule na hatimaye kupata shule iliyofanya vizuri kuliko zote. Pia nataka kujua namna ya kucalculate average school GPA.

Kama kuna formula maalumu naombeni mnipe maujuzi.

Thanks in advance

vladimir fuschs
 
Nenda shule acha kufanya research kienyeji
hata hizo shule zenyewe hawajui namna shule zao zinavokuwa ranked
so hata kama nkienda shule haitasaidia
mkuu hiyo siyo research ni just to fullfill my curiosity of sharpening my mind
 
Back
Top Bottom