fredymkanza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 284
- 152
Kitendo alichofanyiwa mtoto wa marehemu Dada yangu anayelelewa katika kituo cha SOS CHILDRENSVILLAGE ARUSHA kubakwa na mjomba wake na yote haya ni kwa sababu ya taratibu kutokufwatwa za kumtoa mtoto kwenye kituo kumkabidhi mtu ambae si mtajwa kwenye mkataba wa makabidhiano ya yatima yule Police wameshachukua chao wametulia Tumeenda hadi kwa Mkuu wa Mkoa mkuu wa itifaki anasema huruhusiwi kuonana na mkuu wa mkoa tatizo lolote linapitia kwake kwanza mpaka leo kimya
Tukaenda tena hadi kwa Afisa ustawi wa jamii wa Mkoa hakuna chochote mpaka leo
Jamani nifanyeje sasa?
Tukaenda tena hadi kwa Afisa ustawi wa jamii wa Mkoa hakuna chochote mpaka leo
Jamani nifanyeje sasa?