Jinsi gani naweza kuuza business ideas/marketing ideas?

Jan 6, 2010
6
0
Habari wadau wa forum,

naomba kujua nawezaje kuuza ideas?
je ni lazima niwe kwenye registered company or agency?

maana ilishatokea nikaandika PROPOSAL ya kuhusu TV show na kupeleka TBC but mwisho wa siku sikupata any feedback na kibaya zaidi wanaitumia idea yangu,kuna kipindi kipya kinachoshika umaarufu kwa kasi,its my idea.

nilivyofuatilia kwa mtangazaji mmoja ambaye nina ukaribu nae akaniambia ukweli kwamba kama haipo registered ni UMELIWA.
ndo hivyo wadau naomba ushauri.
 
Anzisha kampuni yenye rules na terms za kutoa huduma hiyo.
 
Du, kumbe ile mambo ya BANGO TBC1 ni idea yako Broda?...!

Unapoteza pesa mingi sana chali yangu!....heee, na wabongo wanavyopenda kuuza sura vile!!

Andikisha hiyo kampuni uchukue MAHELA fasta besti!
 
pole kaka,we learn through mistakes, fungua compuni ufanye vitu kwa uhakika na mie nipo hapa natafuta ideas ambazo ni profitable za business tuwasiliane plze
Madam K.
 
thanx man....roho inauma kichizi...f...k em
kama una rekodi ya barua na tarehe za ushahidi waku tosha ni idea yako kwanini huwapeleki mahakamani.

Obviously wanakesi ya kujibu idea wameitoa wapi; hata kama itakua ni kesi ya kwanza someone has to start protecting their ideas especially kwa wewe ambae unaona hupo robbed so far.
 
Habari wadau wa forum,

naomba kujua nawezaje kuuza ideas?
je ni lazima niwe kwenye registered company or agency?

maana ilishatokea nikaandika PROPOSAL ya kuhusu TV show na kupeleka TBC but mwisho wa siku sikupata any feedback na kibaya zaidi wanaitumia idea yangu,kuna kipindi kipya kinachoshika umaarufu kwa kasi,its my idea.

nilivyofuatilia kwa mtangazaji mmoja ambaye nina ukaribu nae akaniambia ukweli kwamba kama haipo registered ni UMELIWA.
ndo hivyo wadau naomba ushauri.

Extra, ever heard of writing a BOOK?
Otherwise be contented in by the idea of getting employed for management of your ideas.
 
Huu wizi wa idea bongo ndo kila siku.
Wewe kwa nini uuze hiyo idea ya pesa?
Fanya mwenyewe hiyo bizness.
 
Pole kwa hayo yote.

Yaliyokupata yalimpata pia rafiki yangu, especially when you are in need.

Andikisha Kampuni yako au Agency kama ulivyoshauriwa.

Mimi ni Specialist Online/internet marketing.

kama una website ni hatua moja, hatua nyingine muhimu ni kuhakikisha website yako inapatikana na inasomwa.

Watu watapataje website yako, au watu wataijuaje?

Kuna vitu vinaitwa Search Engines, zipo nyingi lakini maarufu ni Google, yahoo,msn/bing,altavista, excite e.t.c..

Pia kwa msaada wa online directory website yako itafahamika.

Now, jinsi gani website yako ipatikane huko kwenye search engines? hasa ipatikane kwenye page za mwanzo.

Website yako itapatikana kulingana na huyo anayetafuta kitu, kama hicho kitu umekitaja au umekiandika kwenye website yako, kitaalam tunaita key words. Pia kuna jinsi ya kupangilia maneno katika website yako ili ilete maana, na ipatikane, tunaita Search Engine Optimization (SEO).

SEO Experts ni watalaam wa kufanya website yako ipatikane kwenye search engine, na isomwe na hatimae msomaji anunue bidhaa unayouza kama ni agricultural product, Travel package, gari, Hotel, Casino, na mengineo uliyonayo.

Kwa kifupi mimi ndo SEO Expert na nafanya part time Website marketing, Consultancy on Advertising,marketing,promotion, na General marketing of the Company through articles,newsletters,email marketing,public relations.

Chuoni nilipata idea ya marketing, how ever through in Job training niliweza kujifunza zaidi.
Kwa sasa nina furaha kuwa nafanya kazi kwa ufanisi na matokeo unayaona.

Kama ukinipa kazi, matokeo utayaona na kama hutaridhika money back!!!
 
oops nimesoma hapa nimevutiwa sana na maelezo yako ngoja nikucheki piiimuu
 
Pole kamanda kumbe BANGO ni wazo lako umeliwa ila watishie kuwapeleka mahakamani. Wakati TVT ilipoanza kuna askari magereza alitoa wazo la jingo ya mlima kilimanjaro kabla ya taarifa za habari za TVT wakapata nayo umaarufu kama TV ya kitaifa inatumia alama ya mlima wetu jamaa kawabana nasikia walimlipa na mahakama ikapiga marufuku kutumia.

Kama una kumbuka ni ile jingo dingi flani anapuliza pembe ya nyati afu mlika KILI unajitokeza, kwa hiyo we nenda kachukue mkwanja hapo upo tena mzuri sana afu utupe feedback sawa kijana.

Afu acha uzembe anzisha kampuni hata bila ofisi wewe ndo ifisi mbona Richmond ilianzishwa wakavuna pesa za Tanesco tanzania wakati ni wazo kama hilo la bango na umeme hawajatuzalishia.
 
pole kaka,we learn through mistakes, fungua compuni ufanye vitu kwa uhakika na mie nipo hapa natafuta ideas ambazo ni profitable za business tuwasiliane plze
Madam K.

Madam k nimekupm .Nasubiri jibu
 
Hakikisha kama una idea unaiandikisha brela ili kama kuna mtu amekuchakachua uwezekumshitaki klwasababu utakuwa na haki ya umiliki wa hiyo idea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom