Jinsi gani naweza kutafuta simu iliyopotea kwa kutumia IMEI?

Klabu ya Chelsea inaweza ikatupa karata yake kushindana na Manchester United katika kupata saini ya beki wa AC Milan na Italia Alessio Romagnoli, 23. (Sun)
 
Nipo huku Kolomije siwezi kufika daslam
Basi haiwezekani kwa sababu zifuatazo.
1. Kutrack number utahitaji kuwa na connection ya simu husika kama kwa internet au gps.

Kutumia imei maana yake hautakuwa na connection na kifaa husika

isipokuwa mtandao wa simu ambayo laini imeewekwa kwenye simu unayotaka kutrack ndio inarecord imei number na mnara ambao simu inapokea signals.

2. TCRA na polisi wanatumia triangulation method yaani system ambayo imeunganishwa na hiyo mitandao yote, hii inafanya kazi kwa mtindo huu.

Kama simu imeibiwa kisha mwizi akatoa laini na kuweka laini nyingine basi laini itarejista kwenye mnara wa karibu kwa kutumia namba pamoja na imei.

Kisha imei namba na laini zitarekodiwa na mtandao wa simu.

Hivyo system ya polisi ama tcra inaconnect na ya mtandao husika, kwa hiyo ili upate imei za simu inabidi uwe na access na data za mitandao ya simu kisheria ww mtu wa kawaida huwezi kuwa nazo hivyo itabidi uwende polisi.

Njia nzuri ya ku-track device ni kuwa na apps kama mobile tracker ambazo zinaitaji muhusika awe anaacha data on.

ili kutrack na kufetch data vinginevyo ni ngumu mpaka uhusishe vyombo vya sheria kama polisi au TCRA.
 
I second this, mamlaka husika ndio zinaweza kwa msaada wa mitandao ya simu, sisi watu wa kawaida hakuna njia ya kuweza kutrack imei.
 
Back
Top Bottom