Jinsi gani naweza kumfundisha mtu kwa njia ya online

Wakipekee

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
5,353
9,215
Salute wadau...

Naomba msaada je nitumie mbinu gani kumfundisha mtu online. Kuna mwanafunzi mmoja nahitaji kumfundisha tatizo yupo mbali na mimi kwa hiyo njia pekee n kutumia mtandao sasa nashindwa nitumie njia gani coz nikisema nirekod video naona zinakua na mb nyingi sana. Nipeni ushauri wenu koz ili anielewe lazima nitumie video maana ni maths. Karibuni
 
Mkuu mbna ata wasap inaweza ila kwa ubora na urahisi tumia skype,zoom na nk. Nako ujipange tu na mb kuhusu video kuwa na mb nyingi unaweza punguzo resolution na zkawa kawaida au baada ya kurekodi ukaziconvert kwanza zkapungua mb dog ukatuma ni wewe sasa uchague ipi


Amani iwe nawe.
 
Back
Top Bottom