Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Punyeto itakuongezea tabia ya kujishuku muda wote utajiona guilt muda wote.

Utapoteza kujiamini kwenye mambo mengi na mwishowe utaanza kujidharau. Kadri umri unavyozidi kwenda utakua sio mtu wa kuamua jambo kwa haraka na uwezo wako wa kukumbuka mambo utapungua.

Nadhani ukikaa hujajichua hata wiki moja moyoni mwako unajisikia amani na unajikubali. Achana na sound kuwa Nitaacha kesho🧐🧐 kesho ya puli huwa haifiki kama unataka kuacha acha leo.

Mwisho tafuta mwanamke hata kama ni mbaya kwa kuanzia sio mbaya ili tu uepukane na puli.
 
Hii kitu ni janga la kitaifa, Not only easy to enter but also hard to leave🤦‍♂🤦‍♂🤦‍♂
 
wacheni hizo habari.....kwanini uache punyeto.....hii kitu haina kucheat wala harara za magonjwa....
 
Ndugu na rafiki wa jamii forum naomba maoni Juu ya hihi mada..nasi tuma maoni yetu ndani ya link hihi ambayo itakusaidia kuelewa sayansi ya PUNYETO na namna ya kuachana nayo ....usiache kusubscribe na kutoa maoni yako
 
Daahhh aliyegundua chaputa Mungu amuazibu saba mara sabini hii kitu inamkono mrefu kuliko hata serikali kuikimbia sio kazi nyepesi yataka juhudi binafsi mm bado vigezo vidogo niqualify kuondoka kbsa na kuteketeza kadi Cha uanachama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu naitaji msaada kwa anaejua dawa ya kuponya MTU Alie Athilika na punyetwo

Na umri WA miaka 24 now

Nlianza iyo muchezo muchafu mwaka 2015 nkiwa form four so now nataman kuacha imekuwa gumu Sana

Nimejitaidi imeshindikana

Imeniasili kwa kiasi flan coz hata nkiwa na sex na toa mbegu kidogo mnoo
. kiukweli Hali hii naichukia Sana tena Sana imenipelekea kuachana na mpenzi wangu

Kwa anaejua tiba please, please, please naitaji anifuate pm anisaidie

Coz imekuwa too much
Kuaicha imeshindikana

Natanguliza shukran

Elezea kwanza imepelekeaje mkaachana na mpenzi kisa punyeto ili tukupe ushauri usikute una tatizo lingine sema hujijui..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom