Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Hili ni tatizo la kisaikolojia mkuu na lina athari kubwa ktk mfumo wa afya ya uzazi hasa kwako so unatakiwa ulitafutie ufumbuzi mapema....

Ila ushauri wangu wa kawaida tu ni kwanza kujaribu kujiweka mbali na vitu ambavyo vinaweza kuwa sababu ya ww kupata muhemko na kujikuta unashindwa kujizuia.

Na pili jitahidi kushindana kifikra na kivuli cha fikra zako coz uhakika ni kwamba hukuzaliwa na hali hiyo bali ulijifunza taratibu mpaka kuwa ivyo ulivyo leo, ni kweli hakuna kitu kigumu km kushindana na kivuli chako ila kwa hili nkushauri namna ulivyojifunza kuanza mchezo huo ndivyo unapaswa kujilazimisha kupunguza idadi ya tendo kwa siku na ipo siku utaacha kabisa.
ngumu sana

sipati usingizi kabisa

nataka nianze kula vidonge vya usingizi
 
ngumu sana

sipati usingizi kabisa

nataka nianze kula vidonge vya usingizi
Hili tatizo la utumiaji wa madawa ya kulevya au kucheza kamari, ugumu wa kuacha mambo hayo ndo upo kwny issue hii ya nyeto so km wanavyoweza kujizui na hatimaye kuacha kabisa ndivyo unapaswa uvae mfano huo
 
Wakuu siwezi kulala kabisa kama sijanyetuka/sijapiga puchu/punyeto

Pia siwezi kuamka bila kupiga puchu

Ukitaka usiku nikae usiku kucha bila kulala basi nizuie nisipige nyeto pia ukitaka asubuhi nilale mpaka udhani nimekufa nizuie nisipige nyeto

Nateseka sana.
Mkuu ata usiwaze we piga 2 mbna we unapga kdgo kuna wengne wanapga mara 5 kwa sku....sema kwa sasa we tafuta mbnu nyngne za puchu kama ile ya inzi kwenye mfuko
 
Nataka kulala apa nimeshapiga kimoja cha fasta ndo naskia usingizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom