Jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
17,764
Points
2,000

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
17,764 2,000
Habar wana Jf?

Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka 2000, alisema alianzia kwa kufanya mara moja kwa siku hadi ikafikia kipindi siku kwake ikawa haiwezi kupita bila kufanya.

Baadae ikawa anafanya hadi mara tatu kwa siku kitendo ambacho anasema kilikuwa kikimtesa sana kwani ilikuwa kwake ni lazima afanye ili akili yake ikae sawa lasivyo siku hiyo hatokuwa vizuri (huwa kama anaumwa).

Kwa sasa tayari ana mke na mtoto lakini ameshindwa kuacha licha ya kufundishwa njia mbalimbali kama kutazama mpira, wrestling, kutumia vidonge vya kupunguza ge.nye, kupaka pili pili kiganjani, kujichanganya na watu n.k.

Anaomba ushauri wenu ili aweze kuachana na hali hiyo.
 
GeeM

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2014
Messages
1,901
Points
2,000

GeeM

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2014
1,901 2,000

Masturbation ni pepo la mahaba kwahiyo rafiki yako anahitaji kufunguliwa kiroho kwa Jina la Yesu basi.
 
yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
3,415
Points
1,500

yahoo

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
3,415 1,500
Atakaemuacha mumewe kwa sababu hiyo nitamuona wa ajabu sana.Mimi ni bora hiyo selfie kuliko awe na mchepuko.
Haa! Mtu anafanya mapenzi nje y ndoa unamvumilia?..huoni anakuwa ameidhalilisha papuchi yako kuwa si chochote kwa mkono?
 
Pendael24

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Messages
2,454
Points
2,000

Pendael24

JF-Expert Member
Joined Feb 13, 2014
2,454 2,000
Mwenzenu nilikua mhanga wa hio ishu ila nashangaa najikuta mwezi wa nane sijafanya ni juzi tu niliamka nikajikuta nimeji... Lakini kabla ya hapo siku 3 zilikua hazipiti acheni jamani ukiwa na imani kwa Mungu hakuana kinachoshindikana. Mwambie asali sana ana asikate tamaa atajikuta kaacha tuu.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Forum statistics

Threads 1,343,399
Members 515,033
Posts 32,783,515
Top