SUA.ni chuo kikuu kilichoanza kuwa jipu tangu 2994.tulipoanza hapo na kumaliza bila kuajiriwa na serikali mwisho tukaingia wizara ya elimu na kuanza kuamba kazi ya ualimu .Sua inahitaji wajipange.sio chiuo salama kwa maisha salamaMkuu unaposema wenye division four na three chafu wanaenda SUA una maanisha nini?? Naomba majibu tafadhali!!
Tatizo ni SUA au sera za serikali yako?SUA.ni chuo kikuu kilichoanza kuwa jipu tangu 2994. tulipoanza hapo na kumaliza bila kuajiriwa na serikali mwisho tukaingia wizara ya elimu na kuanza kuamba kazi ya ualimu .Sua inahitaji wajipange.sio chiuo salama kwa maisha salama
Good. Pia kuna baadhi hawaelewi. Benki zina vitengo vingi,mojawapo ni kile cha mikopo kwa wajasiriamali. Ujasiriamali uko wa aina mbalimbali ikiwa ni pamoja na kilimo na ufugaji. Kilimo na ufugaji ndo relevance mojawapo ya kozi za SUA. Hivyo, si ajabu products za SUA kukaa benki kukaongeza ufanisi wa investments za mikopo inayochukuliwa.Alafu graduate wa sua kufanya kazi bank ni kosa la SUA kweli? Sua kazi yao ni kufundisha na sio kumpangia wapi graduate akafanye kazi!!
Nnachoona hapa ni kwamba una chuki binafsi na sua, na kuna uwezekano MLIENDA KWENYE INTERVIEW YA KAZI NA KIJANA WA SUA AKAWAGARAGAZA!!
Alafu hujui agribusiness wanasoma uchumi na finance? Sasa kwann washindwe kufanya kazi bank??
Kama kichwan wewe ni kilaza basi jua vijana wa sua watakupelekesha sana!!
Umeandika usichokijua. Utazungumziaje mitaala ambayo hujawahi ichungulia? Hakuna chuo bora kama Chuo Kikuu.cha Sokoine cha Kilimo [SUA]. Tatizo ni nyingi ya kozi ni za kuishi vijijini na maporini, vijana hawataki maisha hayo!Habari wakuu.
Labda niende straight:
Katika vyuo jipu nchini kimojawapo ni SUA.
Kinatoa kozi ambazo kiuhalisia kwenye labor market ufanisi wake ni mdogo sana, Mitaala na Programmes za SUA kwa ujumla zinachangia kuongeza idadi ya majobless nchini kwa kutoa taaluma zisizoendana na mazingira yetu.
Mitaala na programmes za SUA ni copy & paste kutoka nchi za mashariki ya kati, ambapo haziendani na mazimgira halisi ya kitanzania na Africa.
Nina jamaa zangu wengi waliomalizia SUA kozi za kilimo kama Agribusiness, misitu, sayansi ya nzige, Usimamizi wa Asali etc sahivi ni mabank tellers kwa malipo ya kusikitisha hadi laki 2 , hii imepelekea hadi graduates wa SUA kupewa jina la "Cheap labors" na hii imekuwa common wajiri wengi wakitaka kuajiri mtu wa kumyonya huvuta vijana wa SUA, sasa hawana added skills.
Heslb wanatumia mabilion ya fedha kutoa mikopo kwenye vyuo ambavyo havipo relevant na uhalsia wa nje.
Vijana wengi wa PCB/PCM/CBG ambao walikuwa ndoto ya kusoma udaktari na uengeneer, wanapofeli Form 6 na kupata division 3 chafu na div 4 wote hukimbilia SUA, hivyo husomea vitu ambavyo hawakuwah kuwaza kuvisoma.
Hongera kwa UDSM, Mzumbe na Mhimbiri kwa kuendelea kutoa elimu inayongeza ufanisi kwenye jamii, SUA wanatakiwa wajifunze kutoka kwenu.
Mbona huo mwaka bado hatujafika mkuu...SUA.ni chuo kikuu kilichoanza kuwa jipu tangu 2994.tulipoanza hapo na kumaliza bila kuajiriwa na serikali mwisho tukaingia wizara ya elimu na kuanza kuamba kazi ya ualimu .Sua inahitaji wajipange.sio chiuo salama kwa maisha salama
Kariri halafu ukutane na wale wazee kwenye oral exam ndo utajua pa kutokea.Elimu ya sua ni ya kukariri wenyewe wanaita simbi
Wewe utakuwa kati ya viazi ambao wameshindwa kuajirika Kwani Kila ukienda interview unanyukwa na vijana wa SUA! Hiki chuo hata kama hukipendi ndio chuo cha pili kwa ubora Tanzania! Mengine uliyosema kuhusu vyuo bora SUA haina cha kujifunza huko! Ni chuo bora Kabisa kinachojitosheleza na kutoa wahitimu walioteka soko la ajiraHabari wakuu.
Labda niende straight:
Katika vyuo jipu nchini kimojawapo ni SUA.
Kinatoa kozi ambazo kiuhalisia kwenye labor market ufanisi wake ni mdogo sana, Mitaala na Programmes za SUA kwa ujumla zinachangia kuongeza idadi ya majobless nchini kwa kutoa taaluma zisizoendana na mazingira yetu.
Mitaala na programmes za SUA ni copy & paste kutoka nchi za mashariki ya kati, ambapo haziendani na mazimgira halisi ya kitanzania na Africa.
Nina jamaa zangu wengi waliomalizia SUA kozi za kilimo kama Agribusiness, misitu, sayansi ya nzige, Usimamizi wa Asali etc sahivi ni mabank tellers kwa malipo ya kusikitisha hadi laki 2 , hii imepelekea hadi graduates wa SUA kupewa jina la "Cheap labors" na hii imekuwa common wajiri wengi wakitaka kuajiri mtu wa kumyonya huvuta vijana wa SUA, sasa hawana added skills.
Heslb wanatumia mabilion ya fedha kutoa mikopo kwenye vyuo ambavyo havipo relevant na uhalsia wa nje.
Vijana wengi wa PCB/PCM/CBG ambao walikuwa ndoto ya kusoma udaktari na uengeneer, wanapofeli Form 6 na kupata division 3 chafu na div 4 wote hukimbilia SUA, hivyo husomea vitu ambavyo hawakuwah kuwaza kuvisoma.
Hongera kwa UDSM, Mzumbe na Mhimbiri kwa kuendelea kutoa elimu inayongeza ufanisi kwenye jamii, SUA wanatakiwa wajifunze kutoka kwenu.
Habari wakuu.

Naona hata kuandika mwaka hujui! Kwa akili hii unawezaje kuwanyooshea kidole watu wa SUA?SUA.ni chuo kikuu kilichoanza kuwa jipu tangu 2994.tulipoanza hapo na kumaliza bila kuajiriwa na serikali mwisho tukaingia wizara ya elimu na kuanza kuamba kazi ya ualimu .Sua inahitaji wajipange.sio chiuo salama kwa maisha salama