Jinsi Data(mb)za simu zitumike kwenye pc laptop

1. Tengeneza portable wifi hotspot kwenye simu yako.

2. Set jina na password kisha ruhusu wifi hotspot kuwa on kwenye simu yako.

3. Washa wifi au WLAN kwenye laptop yako.

4.Angalia Wi-Fi status ama notification panel utaona list ya connections zilizopo hewani ambapo hotspot ya simu yako kwa jina mf. Android1 itaonekana miongoni mwake.

5. Ichague kisha bonyeza connect itakuambia ingiza password utaweka password ulizotengeneza. Allow sharing with home network unaweza kuikataa hii kisha ukaendelea na hapo utakuwa umeshaunga pc yako kutumia data ya simu!

4.Iwapo una desktop pc itakupasa uwe na wifi adapter ambayo utai configure kwenye computer hio sababu desktop nyingi haziji na Wi-Fi from the factory.
 
Kabla ya kumpa hizi steps, inatakiwa tujue simu anayotumia.

Inawezekana anatumia classic phone isiyokuwa na hizi options za wifi
1630030269981.png
 
1. Tengeneza portable wifi hotspot kwenye simu yako.

2. Set jina na password kisha ruhusu wifi hotspot kuwa on kwenye simu yako.

3. Washa wifi au WLAN kwenye laptop yako.

4.Angalia Wi-Fi status ama notification panel utaona list ya connections zilizopo hewani ambapo hotspot ya simu yako kwa jina mf. Android1 itaonekana miongoni mwake.

5. Ichague kisha bonyeza connect itakuambia ingiza password utaweka password ulizotengeneza. Allow sharing with home network unaweza kuikataa hii kisha ukaendelea na hapo utakuwa umeshaunga pc yako kutumia data ya simu!

4.Iwapo una desktop pc itakupasa uwe na wifi adapter ambayo utai configure kwenye computer hio sababu desktop nyingi haziji na Wi-Fi from the factory.
Asantee.........natumia huawei 360
 
Huawei 360
- Ni kweli ina uwezo wa kufanya WiFi Hotpot, na laptop yako kupata internet.

- Sikushauri utumie hiyo simu kwa ajiri ya internet kwenye laptop

Sababu
  • WiFi itasababisha overheating kwenye simu yako
  • Itapelekea kuua bettery mapema
  • Na wakati mwingine hadi mfumo wa kuchajia kwenye simu kuharibika, hapa namaanisha kama simu ulikuwa na uwezo wa kuichaji kwa masaa mawili ikawa fully charged, basi mfumo wake ukifa, itakuchukua siku hadi mbili kuweza kuichaji simu husika, au isiwe charged kabisa na kushindwa kuwaka, na unakuwa umepoteza simu na taarifa zako zote muhimu ulizohifadhi kwenye hiyo simu.

ila kama unataka utumie kwa dakika chache, waweza tumia, ila tayari umeshajua hasara yake.

Je nini cha kufanya.
  • Tafuta simu ya bei ndogo, smart kitochi, ni 4g, huuzwa kati ya TZS 40,000 hadi 45,000, fika maduka ya voda/tigo
  • Na tumia hiyo simu ndogo kama maalumu kwa maswala ya internet kwenye laptop yako.
  • Hiyo simu ndogo muda wote itakuwa connected kwenye chaja, betri yake hata ikifa hasara ni ndogo ukilinganisha na thamani ya hiyo simu kubwa.

Je kwanini nimekupa huu ushauri?
  • Mimi binafsi nimeharibu simu mbili kwa kuzitumia kama hotspot kwa muda mrefu.
  • Ila kwa sasa natumia router
 
My Brother asante kwa ushauri mzuri.
Nimekuelewa vema
 
Back
Top Bottom