Jinsi counter wa baa alivyoibiwa pesa

Huyo bar maid kafanyiwa mchezo tu na huyo huyo boss wake huo ni utumwa anamslibisha bila sababu kamzunguka tu hakuna chochote hapo
Hilo nalo neno, nilishawahi kuikuta sehemu hiyo, boss alikuwa anawarubuni macounter kutoka bar zingine alikuwa anapoint zile pisi kali anawaahidi mishahara mikubwa, mwisho wa siku anawachezea michezo kama hiyo ya kitapeli halafu anakimbilia kwenye kuwakata mishahara, yaani kila counter aliepitia kwenye bar yake lazima apate loss, mwisho wa siku akawekewa mtego akadakwa ila alifanikiwa kutoroka na ile bar majengo alikuwa kakodi tu.
 
Acha kubadili story,umedai yule tapeli alifanya kubadili namba kwenye jina liloseviwa "Boss" na kwakuwa Counter asubuhi alipopokea simu na hatimaye kutakiwa kutuma pesa ya mauzo yeye alikwenda kwa wakala na kumpatia pesa na kumtajia namba za "Boss" na wakala akatuma.
Ndio tunauliza inamaana wakala hakuuliza jina litakalotokea? Sasa unasema Counter alitaja jina,je jina lilotokea ni la Boss halisi au Boss tapeli na kama lilitokea jina la Boss tapeli ilikuwaje Counter hakushtuka kwamba jina lilokuja sio la Boss wake?
Brother ukiwa muongo unahitaji kuwa na kumbukumbu.
Nilichoelewa ni kwamba yule tapeli alisave namba yake kwenye simu ya counter kwa jina "BOSS" sawasawa na vile counter alivyosave number halisi ya boss wake, kwahiyo tapeli alipowasiliana nae kwa kutumia namba yake(tapeli) kwa counter jina linatokea "BOSS"
 
Wizi wa Mimi kuibiwa ni ule kunizunguka na mapanga na visu au bastola huo ndio naweza ibiwa ..lakini huu wa simu aiseee utakuwa umefanya kazi na nakupa na Hongera zote. Ishini kwa principal na utaratibu u will be safe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu humu ni mbumbumbu na wagumu wa kuelewa sana, yani imeshafafanuliwa sana kuwa kaunta alielekezwa na bosi tapeli kutuma ile hela kwenye namba nyingine na ina jina lingine lakini majitu yanakomaa kuuliza eti ina maana huyo kaunta halijui jina la bosi wake
 
Acha kubadili story,umedai yule tapeli alifanya kubadili namba kwenye jina liloseviwa "Boss" na kwakuwa Counter asubuhi alipopokea simu na hatimaye kutakiwa kutuma pesa ya mauzo yeye alikwenda kwa wakala na kumpatia pesa na kumtajia namba za "Boss" na wakala akatuma.
Ndio tunauliza inamaana wakala hakuuliza jina litakalotokea? Sasa unasema Counter alitaja jina,je jina lilotokea ni la Boss halisi au Boss tapeli na kama lilitokea jina la Boss tapeli ilikuwaje Counter hakushtuka kwamba jina lilokuja sio la Boss wake?
Brother ukiwa muongo unahitaji kuwa na kumbukumbu.
Ila na wewe ni mgumu kuelewa nawe unakaribia kutapeliwa, soma tena mada inajieleza vizuri tu.
 
Mkuu mbona maelezo yapo vzr yaani conversation ya counter na boss fake ilimtaka atume pesa kwenye namba nyingine kabisa ya mtu ambaye anaenda kumuuzia vinywaji so jina likatokea hilohilo
Tuliaminishwa usajiri wa line kwa vidole utaondoa wizi wa mitandaoni, kumbe serikali ilikuwa na lake.
 
Huyo bar maid kafanyiwa mchezo tu na huyo huyo boss wake huo ni utumwa anamslibisha bila sababu kamzunguka tu hakuna chochote hapo
Hata Mimi nahisi kitu humu. Bosi hakwenda kuchukua mauzo kama ilivyozoeleka.
Tapeli alijua kabsa kuw kesho yake akituma msg yakutumiwa pesa bosi atakuwa bado hajafika pale bar kuchukua pesa za mauzo.
Yote kwa yote tapeli akikuamulia atakupiga then wengn tutabaki kujifunza kupitia wewe.
 
Matapeli ni wa kuangamiza! Niko huku Katavi kwa mtaalam, nataka niwafyatue waliochukua 2m yangu!
 
Back
Top Bottom