Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 3,949
- 5,977
Watanzania tunataka serikali inayojali watu wote! inayojali maslai ya wafanyakazi,wakulima,walimu na wengineo! watanzania wamechoka na awajui kesho nini kitawakuta! wana Dar es salaam awajui kesho jumatatu wataambiwa nn na mkuu wao wa mkoa! watumishi wa Serikali awajui atma yao! askari wote(police,jeshi,magereza) awaju lini watenda course ili wapande cheo! Wewe TISS namba moja sema usikike umesikia nn kuhusu watu kupanda vyeo na lini mshahara utapanda na lini Watumishi watalipwa malimbikizo yao,je ni Lini MSD na wengine wanaodai (madeni ya ndani) yatalipwa ila usilete usanii!!! Membe ajatweet na bado ajatweet