Jinsi CCM inavyohujumu CHADEMA kwa kutumia vyama vingine vya upinzani

monde arabe

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
8,486
13,017
Habar za muda huu ndugu zangu Watanzania mliopo sehemu tofautitofauti Duniani kote,lengo la uzi huu ni kupeana elimu ya masuala ya siasa na kinachoendelea hapa kwetu Bongo kwenye ulingo wa siasa

Mwanzoni ccm walianza kukihujumu chama cha Demokrasi na Maendeleo pamoja na Cuf ya Maalim Seif,hapa wabunge na madiwani walinunuliwa kwa vitita vikubwa vya fedha taslim pamoja na kulipiwa madeni yao sambamba na kurejeshewa ubunge wao au udiwani wao kwa nguvu za polisi,mahakama na tume mbovu ya uchaguzi

Pia,vyama tajwa hapo juu vilihujumiwa kwa viongozi wake kutengenezewa mashtaka hewa kama ilivyokuwa kwa akina Mbowe na wenzake

TUTAZAME NAMNA CCM WANAVYOHUJUMU CHADEMA

Hapa mchezo upo hivi,baada ya mbinu ya kuiua CHADEMA kwa kuwafungulia viongozi wake mashtaka hewa,kununua madiwani na wabunge kugonga mwamba sasa hii ndyo mbinu ya mwisho ya ccm ya kuiua CHADEMA kwa kutumia vyama vingine vya upinzani

JINSI MCHEZO ULIVYO;hapa viongozi wa CHADEMA wananunuliwa na wanaenda kujiunga na Cuf ya Lipumba au NCCR-MAGEUZI ya Mbatia (hivi vyama ni matawi ya ccm kwa hivi sasa kutokana na makubaliano waliyoyaingia akina Mbatia na Lipumba kwa CCM)

Baadae kitakachotokea Chadema watabanwa na kuporwa ushindi wakati wabunge na madiwani wachache kutoka Cuf na nccr-mageuzi wakipewa ushindi wa mezani.Lengo la kufanya hivi ni kwamba Jumuia za kimataifa zitakapohoji "kwanini uchaguzi haukuwa huru na haki na mbona vyama vingine vimeporwa ushindi?" wabunge na madiwani wa Cuf na nccr-mageuzi wao ndyo watakaokuja front na kusema "uchaguzi ulikuwa huru na haki mbona sisi ni wapinzani na tulishinda kwa haki na tulipewa ushindi"

Kwa kifupi ni kwamba patakuwepo na mnyukano kati ya Chadema na Cuf kwa kushirikiana na Nccr-mageuzi ya Mbatia na hapo ndipo ccm watakapo pita katikati ya vyama vyote na kujipatia ushindi wa dhuluma

Baada ya ccm kupata ushindi wa mezani kwa kuihujumu Chadema kitakachofuatia ni Ccm kuanza kuvihujumu vyama hivi viwili kwa maana ya Cuf na Nccr-mageuzi mageuzi kwa utaratibu uleule uliotumika kuihujumu Chadema

WITO WANGU KWA WATANZANIA WOTE;ndugu zangu ccm mpaka hivi sasa siyo chama cha wakulima na wafanyakazi tena bali ni chama cha wanyang'aji,wafiraji,mashoga,majambazi,walevi,wauza madawa ya kulevya na chama cha wauaji
Sote tunapaswa kuungana na kuhakikisha kuwa tunasimama na Chadema kama chama cha ukombozi tukikubali Chadema ikafa tutakosa chama cha kutusemea na hapo ndipo tutakaposhida mara maelfu ya shida tunazozipata kwa hivi sasa

Asanteni sana!
 
Chadema zama zenu zimeisha

Najua kisaikolojia inawawia vigumu kukubali ukweli

Ukweli ni kwamba Watanzania wamechoka siasa zenu za kibabe na kutumikia Mabeberu
 
CDM ni kuutangazia ulimwengu wajue upuuzi ambao umeanza kufanywa na CCM na vibaraka wake. Hili walisemee sana SASA! Let it be known to the outside world.

"Foreign secretary" wa CHADEMA amelala sana. Amka lisemee hili kwa nguvo zote ulizo nazo!
 
Lengo kuu la chama chochote Cha Siasa ni kukamata Dola na kuiongoza. Hili ni lengo la Msingi kabisa kwa vyama vyote Duniani.

CUF na NCCR wamepoteza focus. nccr wanataka kuwa chama kikuu cha upinzani na cuf wao wanataka kuimaliza Chadema ambako hakuwafanyi wao waikamate Dola. Hili ni Kosa la kiufundi kabisa kutangaza hadharani kuwa watamtumia Lwakatare kukimaliza Chadema. Hata Kama walikuwa na Mpango huo kulikuwa Hakuna haja ya kuutangazia Umma.

Kwa Nini wamejikita kukiua Chadema ambacho hakina Dola badala ya CCM yenye Dola?

sasa chadema wanapambana na ccm, cuf na nccr kwa kweli chadema sasa iko kama ndio chama tawala Tanzania
 
Hiyo aya ya mwisho kwa wengine ni zaidi ya kichekesho!

Kweli watu tunatofautiana sana.

Hivi huwa mnaandika mkimaanisha kweli?
 
Eeeeh huu mchezo hauhitaji hasira!! ngoja tuone..... Bado kidogo
 
Na wale ambao wamemuomba msamaha mzee Abdulrahman Kinana kwa kumsingizia kuwa ni jangili nao ni wanaihujumu CCM.
NB : jina La alieomba msahamaha na chama anachotokea nimesahau naomba mnikumbushe.
 
Habar za muda huu ndugu zangu Watanzania mliopo sehemu tofautitofauti Duniani kote,lengo la uzi huu ni kupeana elimu ya masuala ya siasa na kinachoendelea hapa kwetu Bongo kwenye ulingo wa siasa

Mwanzoni ccm walianza kukihujumu chama cha Demokrasi na Maendeleo pamoja na Cuf ya Maalim Seif,hapa wabunge na madiwani walinunuliwa kwa vitita vikubwa vya fedha taslim pamoja na kulipiwa madeni yao sambamba na kurejeshewa ubunge wao au udiwani wao kwa nguvu za polisi,mahakama na tume mbovu ya uchaguzi

Pia,vyama tajwa hapo juu vilihujumiwa kwa viongozi wake kutengenezewa mashtaka hewa kama ilivyokuwa kwa akina Mbowe na wenzake

TUTAZAME NAMNA CCM WANAVYOHUJUMU CHADEMA

Hapa mchezo upo hivi,baada ya mbinu ya kuiua CHADEMA kwa kuwafungulia viongozi wake mashtaka hewa,kununua madiwani na wabunge kugonga mwamba sasa hii ndyo mbinu ya mwisho ya ccm ya kuiua CHADEMA kwa kutumia vyama vingine vya upinzani

JINSI MCHEZO ULIVYO;hapa viongozi wa CHADEMA wananunuliwa na wanaenda kujiunga na Cuf ya Lipumba au NCCR-MAGEUZI ya Mbatia (hivi vyama ni matawi ya ccm kwa hivi sasa kutokana na makubaliano waliyoyaingia akina Mbatia na Lipumba kwa CCM)

Baadae kitakachotokea Chadema watabanwa na kuporwa ushindi wakati wabunge na madiwani wachache kutoka Cuf na nccr-mageuzi wakipewa ushindi wa mezani.Lengo la kufanya hivi ni kwamba Jumuia za kimataifa zitakapohoji "kwanini uchaguzi haukuwa huru na haki na mbona vyama vingine vimeporwa ushindi?" wabunge na madiwani wa Cuf na nccr-mageuzi wao ndyo watakaokuja front na kusema "uchaguzi ulikuwa huru na haki mbona sisi ni wapinzani na tulishinda kwa haki na tulipewa ushindi"
Kwa kifupi ni kwamba patakuwepo na mnyukano kati ya Chadema na Cuf kwa kushirikiana na Nccr-mageuzi ya Mbatia na hapo ndipo ccm watakapo pita katikati ya vyama vyote na kujipatia ushindi wa dhuluma

Baada ya ccm kupata ushindi wa mezani kwa kuihujumu Chadema kitakachofuatia ni Ccm kuanza kuvihujumu vyama hivi viwili kwa maana ya Cuf na Nccr-mageuzi mageuzi kwa utaratibu uleule uliotumika kuihujumu Chadema

WITO WANGU KWA WATANZANIA WOTE;ndugu zangu ccm mpaka hivi sasa siyo chama cha wakulima na wafanyakazi tena bali ni chama cha wanyang'aji,wafiraji,mashoga,majambazi,walevi,wauza madawa ya kulevya na chama cha wauaji
Sote tunapaswa kuungana na kuhakikisha kuwa tunasimama na Chadema kama chama cha ukombozi tukikubali Chadema ikafa tutakosa chama cha kutusemea na hapo ndipo tutakaposhida mara maelfu ya shida tunazozipata kwa hivi sasa

Asanteni sana!

Mkuu uzuri wananchi wengi sasa hivi tunauelewa mkubwa wa mambo, kila linalofanyika tunalifahamu vyema. Tunajua fika ccm haiko madarakani kwa ridhaa ya waliowengi, bali inashurutisha kutawala kwa kutumia vyombo vya dola. Na huo mpango wa kutumia hivyo vyama mamluki umefeli kabla ya kuanza. Mfano mrahisi uchaguzi uliopita, CCM waliipa nguvu ACT wazalendo lakini walichemsha.
 
Habar za muda huu ndugu zangu Watanzania mliopo sehemu tofautitofauti Duniani kote,lengo la uzi huu ni kupeana elimu ya masuala ya siasa na kinachoendelea hapa kwetu Bongo kwenye ulingo wa siasa

Mwanzoni ccm walianza kukihujumu chama cha Demokrasi na Maendeleo pamoja na Cuf ya Maalim Seif,hapa wabunge na madiwani walinunuliwa kwa vitita vikubwa vya fedha taslim pamoja na kulipiwa madeni yao sambamba na kurejeshewa ubunge wao au udiwani wao kwa nguvu za polisi,mahakama na tume mbovu ya uchaguzi

Pia,vyama tajwa hapo juu vilihujumiwa kwa viongozi wake kutengenezewa mashtaka hewa kama ilivyokuwa kwa akina Mbowe na wenzake

TUTAZAME NAMNA CCM WANAVYOHUJUMU CHADEMA

Hapa mchezo upo hivi,baada ya mbinu ya kuiua CHADEMA kwa kuwafungulia viongozi wake mashtaka hewa,kununua madiwani na wabunge kugonga mwamba sasa hii ndyo mbinu ya mwisho ya ccm ya kuiua CHADEMA kwa kutumia vyama vingine vya upinzani

JINSI MCHEZO ULIVYO;hapa viongozi wa CHADEMA wananunuliwa na wanaenda kujiunga na Cuf ya Lipumba au NCCR-MAGEUZI ya Mbatia (hivi vyama ni matawi ya ccm kwa hivi sasa kutokana na makubaliano waliyoyaingia akina Mbatia na Lipumba kwa CCM)

Baadae kitakachotokea Chadema watabanwa na kuporwa ushindi wakati wabunge na madiwani wachache kutoka Cuf na nccr-mageuzi wakipewa ushindi wa mezani.Lengo la kufanya hivi ni kwamba Jumuia za kimataifa zitakapohoji "kwanini uchaguzi haukuwa huru na haki na mbona vyama vingine vimeporwa ushindi?" wabunge na madiwani wa Cuf na nccr-mageuzi wao ndyo watakaokuja front na kusema "uchaguzi ulikuwa huru na haki mbona sisi ni wapinzani na tulishinda kwa haki na tulipewa ushindi"
Kwa kifupi ni kwamba patakuwepo na mnyukano kati ya Chadema na Cuf kwa kushirikiana na Nccr-mageuzi ya Mbatia na hapo ndipo ccm watakapo pita katikati ya vyama vyote na kujipatia ushindi wa dhuluma

Baada ya ccm kupata ushindi wa mezani kwa kuihujumu Chadema kitakachofuatia ni Ccm kuanza kuvihujumu vyama hivi viwili kwa maana ya Cuf na Nccr-mageuzi mageuzi kwa utaratibu uleule uliotumika kuihujumu Chadema

WITO WANGU KWA WATANZANIA WOTE;ndugu zangu ccm mpaka hivi sasa siyo chama cha wakulima na wafanyakazi tena bali ni chama cha wanyang'aji,wafiraji,mashoga,majambazi,walevi,wauza madawa ya kulevya na chama cha wauaji
Sote tunapaswa kuungana na kuhakikisha kuwa tunasimama na Chadema kama chama cha ukombozi tukikubali Chadema ikafa tutakosa chama cha kutusemea na hapo ndipo tutakaposhida mara maelfu ya shida tunazozipata kwa hivi sasa

Asanteni sana!
mleta mada naheshimu maoni yako lakini kwa mtazamo wangu tatizo liko chadema kwenyewe na ili wapone ni lazima wakubaliane na ukweli huo na waufanyie kazi.
 
CCM ilipokosea na ambapo hapataweza kurekebishwa kwa muda huu ni kuiacha chadema itengeneze msingi hadi vijijini , huku ikiamini kuwafunga viongozi wake kutadhoofisha chadema , it was a very big mistake .

Chadema hivi sasa iko hadi Chato na imejizolea heshima kubwa mno ! wananchi wanawachukulia wanachama wa chadema kama jamii ya kisomi na ya kishujaa kutokana na yanayotendwa Tanzania kwa sasa
 
Hiyo aya ya mwisho kwa wengine ni zaidi ya kichekesho!

Kweli watu tunatofautiana sana.

Hivi huwa mnaandika mkimaanisha kweli?
Utakuwa mnufaika wa kuibaka demokrasia! Hebu sema hapa, ni Jambo gani iliwahi kuliwaza na muweza kulitekeleza kwa mafanikio makubwa?
 
Kuituhumu CCM kuwa inaihujumu Chadema ni kudhihirisha msemo wa kiswahili usemao mbaazi ukikauka husingizia jua. Chadema inajihujumu yenyewe. Inajihujumu kwa kuendekeza ubinafsi na uimla katika uongozi. Hairuhusu fikra huru chanya bali inaongozwa kwa sauti moja. Hakuna mtu makini anayeweza kujiunga wala kusalia Chadema kwa sasa.
 
Back
Top Bottom