Jinsi blogger wanavyofaidika

Wakuu naomba kujua jinsi bloggers wanavyofaidika,

Faida zipo katika category nyingi, ila kwa kukusaidia blog ikiwa na wateja wengi wanaoitembelea inavutia makampuni kuweka matangazo na matangazo ni pesa. Kuna faida pia kwamba blogger anakua maarufu na ataweza kutumika kwenye shughuli nyngi za kujenga nchi na hvo kujiingizia kipato.
Blogger anazo faida nyingi za kielimu, kwenda na wakati na ubunifu wake kukua (kwa serious bloggerz)
 
Back
Top Bottom