Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ila kikubwa mwana ako na friends kitoka nje ya nchi so angalau wanaweza wakawa wanaacha maokoto kimtindo ukiangalia wao uchumi wao uko poa kuliko akina Tz
 
Mkuu kama tulianza pamoja nilisema story itabase kwa watu waliokuwa na impact kwangu, sijataka kugusia maisha yangu binafsi.

Kwa upande wa marafiki wa chuo nilikuwa nao wachache sana kama Aggy nilimwongelea, na pia kuna mmoja nitamgusia mbele kidogo. Hawa ndo walikuwa partners wangu, marafiki zangu wengi walikuwa niliosoma nao Advance na olevel ila hawa wa chuo wengi ni wanafiki tu.

Tyna - Tumekua naye japo alikuwa ni rafiki wa dada yangu.

Aggy- Tumesoma wote Olevel mpaka chuo

Dav- Huyu tumepiga wote Advance mpaka chuo alikuwa anasoma Finance utamkuta mbele.

Sijataka kuweka maisha yangu binafsi kwenye hii story ila marafiki ninao napia wa Taasisi X kuna moja nilimgusia alikwenda Europe kusoma kwasasa yuko Canada.

Kwa upande wa chuo hakunaga rafiki na mimi nilikuwa mtu wa mambo yangu. Pia nina zile sifa za “ANTI-SOCIAL.”
Nimekuelewa Budah..unatisha Baharia.
 
Daah! Yani unaenda kwa bosi na mchepuko tena isitoshe bosi ana ukaribu na mkeo? Hapa sasa ule ugentle hamna yani nimekutapika mtu wangu...
 
"Na muda huu nilisema nimpigie simu Iryn ili nimuulize tunaonana muda gani kwaajili ya mazungumzo. So baada ya kumpigia simu Iryn alisema kwa leo haitawezekana maana yuko busy hivyo tufanye kesho, na mimi nilimwambia kwa kesho itakuwa ngumu nina ratiba zangu muhim hivyo tuonane jumatano."

Na mimi nilimwambia kwa kesho itakua ngumu nina ratiba zangu muhimu hivyo tuonane jumatano......safi sana hapa Iryn naona kabisa mwili ulipata ganzi kwa muda, ukitoa uanamke wake hata kama ni boss hapaswi kunyenyekewa kupitiliza hili aelewe, TIT FOR TAT
 
"Na muda huu nilisema nimpigie simu Iryn ili nimuulize tunaonana muda gani kwaajili ya mazungumzo. So baada ya kumpigia simu Iryn alisema kwa leo haitawezekana maana yuko busy hivyo tufanye kesho, na mimi nilimwambia kwa kesho itakuwa ngumu nina ratiba zangu muhim hivyo tuonane jumatano."

Na mimi nilimwambia kwa kesho itakua ngumu nina ratiba zangu muhimu hivyo tuonane jumatano......safi sana hapa Iryn naona kabisa mwili ulipata ganzi kwa muda, ukitoa uanamke wake hata kama ni boss hapaswi kunyenyekewa kupitiliza hili aelewe, TIT FOR TAT
Kabisa
 
Mimi ni msomaji wako mkuu na nakufuatilia vizuri Mr INSIDER MAN

Ila naomba nifanye uchambuzi kidogo, Sio Criticism ni uchambuzi tu, Nothing to hold maana ni story ya kweli

1.NIMEGUNDUA KUA KITAMBO ULIKUA UPO DIRECT SANA KWENYE MASIMULIZI YAKO (DIALOGUE ZILIKUA CHACHE NA ULIKUA UNAELEZEA MATUKIO MUHIMU, TUKIO JUU YA TUKIO)

NOWDAYS KUNA MAELEZO LIKE "NILIMPIGIA MARA YA KWANZA LAKINI AKAWA HAJAPOKEA, AKAPIGA MARA YA PILI AKAPOKEA AKANIAMBIA KUA NILIKUA BAFUNI"

MYSELF SIJAPENDA HAYA MABADILIKO, ILA NAENDELEA NA NAPENDA HII SIMULIZI

2.NAKUPONGEZA KWENYE SUALA KUMBUKUMBU (ZA MAJINA YA MIGAHAWA NA MAENEO ULIYOFIKA HATA KAMA NDIYO MARA YAKO YA KWANZA KUFIKA)


UTASIKIA "BAADA YA KUTOKA NA MAMA JANETH KWENYE ILE ORGANISATION, TUKAPATA ZETU LUNCH PALE S2KIZZY RESTAURANT"
NADHANI HATA HIZI DIALOGUE PIA ZINAREFLECT MAZUNGUMZO YENU MLIVYOZUNGUMZA KAMA ILIVYOKUA, HAU ADD CHUMVI

3.KUNA SEHEMU UNAWACHANGANYA PRISCA NA MARRY KWENYE MAELEZO

NADHANI WAFUATILIAJI WENZANGU HIKI KISECTION WATAKUA WAMEKIONA KIPO JUU JUU HUKO SIJUI HEINEKEN ZILIKUA ZISHANOGA HAPO

4. PIA NIMEPENDA SASA HIVI HUA UNATUINCLUDE SISI WASOMAJI WAKO KWENYE STORY YAKO YA KWELI, INALETA LADHA FLANI HIVI

LIKE "NIKAMPITIA MAMA WA2, *NAJUA MTASHANGAA (sisi hao) MAGGY ALIACHA KAZI TANGU......., SEEMS LIKE ASAIV UNAIFIKIRIA REACTION YA HADHIRA YAKO UKIWA UNAANDIKA STORY, KULIKO MAENDELEO YA STORY YENYEWE ......"

5.PIA NIMEPENDA THE WAY EPISODE ZAKO ZINAVYOISHILIZIA, LAZIMA MTU UWE NA SHAUKU YAANI YA KUPATA EPISODE INAYOFATA.....NIMEKUMBUKA ENZI ZA PB EPISODE TUNAZIPATA KWA KUNYATA

6.NIMEPENDA UNAVYOMUHESHIMU BOSS WAKO, NA SOMETIMES UNAVYOMKUMBATIA KWA NYUMA LIKE SOMETHING FISHY IS GOING ON

7.NIMEPENDA THE WAY UNAANDIKA MATUKIO KWA MTIRIRIKO N MPANGILIO MZURI NA WENYE KUVUTIA


8.NIMEPENDA THE WAY UNAVYOADD CHUMVI/CHUKU KWENYE NARRATION YAKO , NILIFURAHI KUONA KISECTION FLANI KINAELEZEA KUA MZEE PAMA ULIKUA UNAMUOTA MPAKA UNAWEWESEKA USIKU

MAONI YANGU

1.KUA DIRECT KAMA ZAMANI , I MEAN ULIPOANZA KUANDIKA HII STORY (OMIT BAADHI YA MAELEZO YANABOA)...LIKE "BAADA YA KUPATA MKATABA KAMA OPERATION MANAGER NIKAFANYA KAZI KWA MUDA FLANI FLANI, IKAWA HIVI HIVI CHANGAMOTO NILIZOPATA HIZI HIZI ..."
WEWE NI MWANA UCHUMI ZINGATIA HADI UCHUMI KWENYE MAELEZO

NA SIO "NIKATOKA MIGOMIGO NIKAENDA POSTA KUCHUKUA ILE MIZIGO, KURUDI IRYN AKANIPIGIA, NIKAMWAMBIA BLAH BLAH....." USHAURI TU MAANA NI STORY YA KWELI HIYO ILA KUNA MUDA TUNAHITAJI MATUKIO MUHIMU ZAIDI TUJIFUNZE

BINAFSI NILIKUA NAPENDA UNAVYOSIMULIA MATUKIO KWA PICHA KUBWA, KULIKO UNAVYOSIMULIA KWA PICHA NDOGO (KAMA PROJECT HAPA UNASIMULIA HADI ACTIVITIES ZA HIYO PROJECT)

2.PUNGUZA CHUKU / CHUMVI

ZITAFANYA STORY YAKO YA KWELI IONEKANE SIO YA KWELI JAPO TUNAJIFUNZA

KUWEWESEKA USIKU BAADA YA MZEE PAMA KUA ANAKUTOKEA USIKU IKANIFANYA NIONE SOMETHING FISHY IS GOING ON KWENYE STORY YAKO AU KATI YAKO NA MZEE PAMA, AMBAYE MMEKUTANA TU UKUBWANI

3.KUWA PREDICTABLE KWENYE HII STORY YAKO YWA KWELI...TUPO WATU MPAKA LEO HATUJUI HUYO MDADA ULIYEKUTANA NAE KWENYE UBER NI NANI GOLATA,IRYN,PRISCA AU NANI NA NAJUA UNAJUA, ILA UMEICHA ISIWE PREDICTABLE MAKUSUDICALLY ILI EPISODE ZIWE NYINGI

BUT NAJUA MUAJEMI KWAKO NI MJINGA NA HANA UGENIUS WA KUTAMBUA MAMBO NA LAZIMA HELA ILI AKUTUMIE , NA HATA UKITAKA KUMPIGA TENA NA TENA KWAKO INAWEZEKANA KWAKO (SEEMS LIKE MATUKIO YAKO NA MUAJEMI YAPO PREDICTABLE AT ALL)


MWISHO KABISA NIKUPONGEZE, KIJANA MWENYE BAHATI KWA KUTUBURUDISHA NA STORY YAKO YA KWELI, HII INATUPA FUNZO NA EXPERIENCE KWA MAMBO AMBAYO WENGINE HATUJAWAHI KUYASHUHUDIA AU KUYASIKIA, KONGOLE MKUU

NOTHING TO HOLD, NI UCHAMBUZI TU SIO CRITICISM, USIJE DHANI SOMETHING FISHY IS GOING ON
Screenshot_2023-09-18-02-19-12-145_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom