Jinsi baadhi ya Media zinavyokuza tabia zisizofaa

Habari wa ndugu?

Binafsi nmekua nikifatilia na kushangaa baadhi ya media kuruhusu na kuajiri aina ya watangazaji wa kiume ambao kimwonekano katika jamii hauendani na real african man.

Jambo lenyewe ni jinsi baadhi ya wanaume kujihusisha katika vipindi vya umbea na kuchambana, hii inanipa shida sana mana unakuta mwanaume katikati ya wanawake akifanya uchambaji katika media huku akionesha viashiria vya tabia za ushoga ilhali jamii imekaa kimya na serikali pia

My take:
Hata ukifatilia historia ya Marekani na Ulaya, swala hili la ushoga na ndoa za jinsia moja halikuanza ghafla,mwanzoni ilikua n jambo lisilofaa na lilipingwa na kila mtu ila kupitia media ziliendelezwa propaganda na kufanya jambo hilo lionekane kuwa la kawaida sana kwa sasa,so kwa Tz yetu serikali na wadau wengine wasipopiga vitendo hivi vinavyoendelea kwa sasa itafikia wakati jamii itaona jambo la ushoga n kawaida na kuwapatia watu hawa haki ya kufanya chochote kama tunavyoona kweny mataifa mengine!.
Ungewataja kabisa , kina juma lukole na kina mwijaku, radio one wala free Africa na baadhi ya radio hazina hiyo mambo, clouds na wasafi ndio hiyo tabia imekithiri
 
Mzee baba unaonyesha wewe mtaalamu Sana kwenye eneo hilo...so mabamsa wote ni magasho!?
Yes! nimefanya tafiti za kisayansi jamii, Afya! Madaktari hasa wa sirikali, manesi wanajua sana hizi issue! sababu madogo wakiumia wanaenda Hosp! bila PF3, huko wanatoa posho kuweka mambo sawa! kifupi ma-Drs, wana siri kubwa sana!

Sababu vijana wanachakazwa sana utadhani kapitia tembo! hapo sasa ataenda wapi? kupata msaada faster?? na pengine hata wazazi hawajui! ....ni hosp. tu! .... na bado kule Labour ward, ndo Maweee! mambo ivi!!!

Ile miili mikubwa vile! ni kwa ajili ya kujitetea, na kulipiza kisasi kirahisi !! likikubananisha kona mzee huchomoki, labda uwe na viwembe aina ya surgical blade piga kimoja akili inalikaa sawa! linakupa shikamoo! yanaogopa viwembe hatare! usiyaone vile!

Kamwe usiweke urafiki na Baunsa km weye ni wa mkoa! hata kukuzoeazoea tu! watu wakikuona nae tu! wanajua yule dogo tayari kesha potea! unaanza itwa majina km ''Anti AKILI TATU, asa nikuulize utakubali kuitwa ivo?
 
It is a master plan. The gay community is a wealthy community working with entertainment and education institutions to champion their campaign.

It is a psychological warfare. Angalia movie za Hollywood, mashoga kibao na wanapewa airtime kubwa.

The idea is to kill masculinity in men, men dominance is under siege.
Mie nadhani hawa jamaa ndo nephilims kabisaaa!! na haya mambo kwa nini yameanzia kwao?? tuuuuu! na wanapenda hasa!! yule jemedari mkuu Alexander the great! alikuwa na Mume kabisaa mwanajeshi! Japo wazungu wanabisha bisha lkn ndo ukweli!

Manly hood wame jifunza kutoka kwetu sisi!
 
Back
Top Bottom