Jino langu linauma sana usiku naomba msaada

Mkuu! Achana na gharama, achana na dawa za wazungu, ngoja nikupe dawa ya uhakika.....
Kojoa mkojo Wako asubuhi mkojo fresh, kwenye chombo kisafi, Kisha weka mdomoni sukutua mdomoni kama dakika 1, tema Kisha weka mwingine, fanya kama mwanzo Kisha tema, Mara ya tatu unaweza sukutua dakika 2 mpaka 3, fanya hivyo kwa siku 3....
Utakuja kunambia hapa, haitatibu tu hilo jina ila hakutakua tena na tatizo la jino, haina haja kung'oa...
Kumbuka kila asubuhi unatakiwa mkojo fresh!!!
Aiseee!!!!
 
Jamni msininyweshe mikojo buree jamani, nsipopona mtaniambia nile na naniliii kidogo
Jamaniiii!!!!!!!!
Hiyoo dawa imeongelewaa na watu wengi sana sio wa humu jukwaani wa nje kuwa ni dawa nzuri ya jino
 
Mkuu! Achana na gharama, achana na dawa za wazungu, ngoja nikupe dawa ya uhakika.....
Kojoa mkojo Wako asubuhi mkojo fresh, kwenye chombo kisafi, Kisha weka mdomoni sukutua mdomoni kama dakika 1, tema Kisha weka mwingine, fanya kama mwanzo Kisha tema, Mara ya tatu unaweza sukutua dakika 2 mpaka 3, fanya hivyo kwa siku 3....
Utakuja kunambia hapa, haitatibu tu hilo jina ila hakutakua tena na tatizo la jino, haina haja kung'oa...
Kumbuka kila asubuhi unatakiwa mkojo fresh!!!
Umesema ukweli Mkojo ni dawa tosha ya meno mimi mwenyewe nimewahi kuifanya hiii dawa mwaka 2011 sijaumwa tena na maradhi ya meno ninashukuru mkojo wangu mwenyewe umenisaidia kutibu maradhi ya meno.
 
Mkuu! Achana na gharama, achana na dawa za wazungu, ngoja nikupe dawa ya uhakika.....
Kojoa mkojo Wako asubuhi mkojo fresh, kwenye chombo kisafi, Kisha weka mdomoni sukutua mdomoni kama dakika 1, tema Kisha weka mwingine, fanya kama mwanzo Kisha tema, Mara ya tatu unaweza sukutua dakika 2 mpaka 3, fanya hivyo kwa siku 3....
Utakuja kunambia hapa, haitatibu tu hilo jina ila hakutakua tena na tatizo la jino, haina haja kung'oa...
Kumbuka kila asubuhi unatakiwa mkojo fresh!!!
inatibu kweli hata mm nimetumia
 
Duuh... Ni kweli??
 
Wakuu nawasalimu,

Kwakweli usiku umekuwa mgumu sana kwangu, jino, Wataalamu wa meno bado niliowaona bado hawana majibu zaidi ya kuling'oa,

Ina maana dactari wa meno wanasomea kung'oa tu meno na siyo kutibu? Kwa kifupi tuseme wadudu wa meno ni kati ya magonjwa sugu duniani sawa na HIV, n.k?
Mkuu limepona?
 
Na mm naumwa jino mliopata matibabu mkapona nipeni njia hapa nimeshindwa kulala kabisa❗
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom