Jini ataka 'Hati ya Muungano'!

Pure Mathematics

Senior Member
Mar 8, 2012
174
52
Bonge la soo ugangani" Ishu ilikua hivi: Jamaa
alipandisha jini kwa mganga:
Mganga: Nini unataka tukupe utoke kichwani?
Jini: Nataka chano cha Halua, Kuku mwekundu na Ng'ombe,
Mganga: Sawa utapata hakuna chengine?
Jini: NATAKA HATI YA MUUNGANO.
Mganga: Heh! We jini kweli au Maalim Seif sharifu Hamadi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom