Jinamizi Lisilotarajiwa.


leonaldo

leonaldo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
1,645
Likes
1,731
Points
280
leonaldo

leonaldo

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
1,645 1,731 280
Muungano wa vyama vya upinzani kenya NASA umetangaza mgomo nchi nzima kususia bidhaa za makampuni na viwanda ambavyo wanadhani vilishiriki kwa njia moja ama nyingine kusababisha uchaguzi kutokuwa wa haki,
kampuni kubwa ya mawasiliano ya Safaricom imetajwa kuwa moja ya makampuni yanayopaswa kuanza kususiwa na wafuasi wa NASA.
Akiongea na waandishi wa habari James Olengo aliwataka wafuasi wa muungano huo kutupa lain za Safaricom na kujiunga na Celtel.
Jambo hili limewashitua na kuwatoa usingizini viongozi wa JUBILEE na kutaka mazungumuzo yafanyike kumaliza sintofahamu hiyo,licha ya kuwa siku chache nyuma chama hicho kilipuuza wito wa kukutana na viongozi wa upinzani kumaliza sintofahamu hiyo.
Tunajifunza nini katika hili,
Viongozi wa afrika hawapaswi kupuuza meza za mazungumuzo na kusubiri hali tete ndio wakumbuke mazungumuzo,
Kuna vitu vingene haviwezi kumalizwa kwa matumizi ya nguvu ya dola.
Hii ni mbinu mpya ambayo haikutarajiwa kabisa na upande wa serikali.
 

Forum statistics

Threads 1,237,048
Members 475,401
Posts 29,276,590