Jinamizi linaporudi: 2 Mill USD for KIKWETE from Oman

That is the problem when we elect people who are not qualified even after decades plus of being a seniour member of cabinet. Men so greedy and ambitious hawana kukomo cha kimaadili... uchawi, ufisadi, kupaka wagombea wengine matope...etc Alafu nnashangaa inakuaje albino wanauliwa na serikali iliojaa washirikina haifanyi kitu. Its just ridiculous kwa kweli. Huyu muiran anawawakilisha serikali ya Iran.. 2011 uranium yao inakua in the making sasa itakuaje... Inabidi na wamarekani nao washtuke waanza kuleta hela za malaria na ARVs..

Tanzania...where we PLAY..HARD!
 
Kazi kweeeeli kweli,Think tank must be......RA, Moderator EL? enzyme Karamayai? Idrisa?Ooofffss***! sasa nakumbuka na kuelewa vizuri maneno ya Bangusilo wa kibaha, kumbe alitoa majibu palepale bungeni, Duu! Duu! Al Aldawi

Inawezekana ndio haya kina Dr Mwakyembe hawakuyasema kwa kulinda heshima ya serikali?

Kama ni kweli basi inawezekana Dr alituangusha kwa kiasi fulani kwa kuficha machafu/uhusika wa mkulu kwenye richmond/dowans saga!
 
Sasa mrudi mseme CUF ni Chama Cha waarabu ,CUF ni Chama Cha kidini yaani mnagandamiza ile mbaya kumbe mwiba mumeukalia.Mnabangaiza maumivu kwa kuwasakama CUF ,wandugu siku zote ukweli utakuja juu tu ,na ndio hayo yanazuka.
 
Mwenzetu unajuaja kama wananchi bado hawajauzwa??? Mambo yanavyokwenda siku mmoja utapewa papers zinazothibisha kuwa tumeuzwa. Mimi hawatanipata kwa kuwa sina mpango wa kurudi huko mpaka nijuwe hatima ya Bongo.
 
NDIO MAANA JAMAA ALISEMA HAPA JUZI KUWA, kuna ulazima kuamend sheria zetu za manunuzi. hii inaonekana kama ni kweli jamani. kikwete yuko kimya kwenye jambo hili, na anasapoti kununuliwa ile mitambo,ni sheria ya manunuzi tu imetuokoa jamaa hata na wanasheria wake naona hawakujua kuwa kutakuwa na pingamizi hilo, dili lilikuwa ni hilo toka zamani. ndio maana RA ana kiburi, kumbe ana mtu nyuma mkubwa, angekuwa mtu mwingine kikwete angeshampandisha kizimbani mda mrefu.lakini kwasababu RA ndo conductor wa vitu vyote hivi, ataendelea kudunda tu. ni kweli, hii nchi imenunuliwa na watu, wamebaki watu tu kuuzwa kama maandazi, ila nchi, iko mikononi mwa wachache aisee.

Mwenzetu unajuaja kama wananchi bado hawajauzwa??? Mambo yanavyokwenda siku mmoja utapewa papers zinazothibisha kuwa tumeuzwa. Mimi hawatanipata kwa kuwa sina mpango wa kurudi huko mpaka nijuwe hatima ya Bongo.
 
Gazeti la Africa Confidential liliandika kwa kirefu..mengine ni kutokana na "vitoto vya nzi" ambavyo havituliiuko uarabuni..
Zilitolewa Aprili 2005
It was campaign funds for his election
Given by who else..? you guessed it
Kikwete threatened to sue over the report he never did na hivyo ukimya wake kuonesha kukubali kupokea
Dili ni kuwa favor itakuja kurudishwa baadaye na riba juu


wakati wa kurudisha favor ulipofika.. here comes Dowans! Now.. how do help our beloved President return the favor ili aoneshe uungwana?

Habari ndiyo hiyo!

MKuu Mwanakijiji,

Haya ni matatizo makubwa san ya Nchi yetu,hauwezi kuta mgomgea U-rais anashinda bila ya kutumia pesa za watu wengine.Ili ni tatizo na linachangikiwa kwa kiasi kikubwa na wanachi wenyewe kwa kupenda Kupewa pesa kabla ya kupiga kura.

Mie nilishawahi kujiuliza sana(ukasema ),Hivi sisi tumerogwa au ni taifa la Mandondocha?Nchi hii haiwezi kufika kokote kule mpaka pale wale wanajiita watawala watakapong'oka kw2a kutumia sanduku la kura!

Hivi haujawahi kujiuliza tunaongozwa na mtu wa namna gani,asiyejua effect ya Economic Recession katika nchi hii mpaka atume watu kutoka hazina wakaongee na wakurugenzi wa halmashauri?

I think there is a wish we need to grant,ni kuhakikisha jamaa anakuwa one term kiongozi!
 
yaani unaanzisha thread ya 2 million dollars?

give me a break hivi unajua Ikulu wamespend kiasi gani kukata ile miti kule nyuma na kuweka terazo ya magari?

hebu mpumzisheni JK jama

From what range do you think is significant sum to be written here?
 
Sasa mrudi mseme CUF ni Chama Cha waarabu ,CUF ni Chama Cha kidini yaani mnagandamiza ile mbaya kumbe mwiba mumeukalia.Mnabangaiza maumivu kwa kuwasakama CUF ,wandugu siku zote ukweli utakuja juu tu ,na ndio hayo yanazuka.

...mmmh CUF imetokea wapi tena kwenye mada hii??????
 
Inawezekana ndio haya kina Dr Mwakyembe hawakuyasema kwa kulinda heshima ya serikali?

Kama ni kweli basi inawezekana Dr alituangusha kwa kiasi fulani kwa kuficha machafu/uhusika wa mkulu kwenye richmond/dowans saga!

Mkuu logistic nadhani ziliwashinda, maana ilikuwa tumpige chini JK siku nile ile kama ilivyo kuwa kwa Lowaza. Nadhani itifaki ilileta fujo kidogo, but the man gave us a platform for the matter
 
Back
Top Bottom