Jinamizi la Libya

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Nightmare in Libya: 20,000 Surface-to-Air Missiles Missing

abc_lilbya_manpads_htg_110926_wg.jpg

After the fall of Gadhafi's Libya, U.S. officials are concerned about the possible proliferation of thousands of portable surface-to-air missiles stockpiled in the country. (Human Rights Watch)

By BRIAN ROSS (@brianross) and MATTHEW COLE
Sept. 27, 2011

U.S. officials had once thought there was little chance that terrorists could get their hands on many of the portable
surface-to-air missiles that can bring down a commercial jet liner.

But now that calculation is out the window, with officials at a recent secret White House meeting reporting that thousands of them have gone missing in Libya.

"Matching up a terrorist with a shoulder-fired missile, that's our worst nightmare,"
said Sen. Barbara Boxer, D.-California, a member of the Senate's Commerce, Energy and Transportation Committee.

The nightmare has been made real with the discovery in Libya that an estimated 20,000 portable, heat-seeking missiles have gone missing from unguarded Army weapons warehouses.

The missiles, four to six-feet long and Russian-made, can weigh just 55 pounds with launcher. They lock on to the heat generated by the engines of aircraft, can be fired from a vehicle or from a combatant's shoulder, and are accurate and deadly at a range of more than two miles.

Full story
 
Mkuu
Hili si jinamizi... ni mpango maalum huo wa kutaka waingie waweke base yao kwa kisingizio cha kutafuta na kudhibiti silaha za maangamizi. Au tumeshasahau WMD za Iraq? Hazijaonekana mpaka hii leo. Na bado Iraq inaendelea kuwa liberated na kupewa freedom...aka "domokrasia".... ziko bases ngapi za US huko Iraq? Kuna wanajeshi wangapi wa US huko Iraq? Hivi ushindi ulitangwazwa lini? na reconstruction inaendeleaje huko?

Ni twist tu ya yaliyotokea Iraq.... bado mchezo mchafu unaendelea na wengi hawajaushitukia.
 
Hapo sikubaliani na wewe. Propaganda or not aside, this is a nightmare!
 
Hapo sikubaliani na wewe. Propaganda or not aside, this is a nightmare!

Mkuu kumbumbukumbu zinakukimbia kwa kasi... Nani ameingiza silaha Libya...US-NATO, Qatar, France ambazo ndizo zinazoangamiza watu. Hizo zinazozungumzwa hapa inawezekana kabisa ni kuongeza chumvi...idadi umeinukuu hapo, 20 000.

Kama walikuwa so concerned kwa nini hawakutaka mzozo wa Libya ambao waliuanzisha utatuliwe kwa amani, majadiliano.
Bado sishawishiki kwa idadi iliyotajwa wala kusemwa ni nightmare.

Mabomba ya kusafirisha gesi kwenda ulaya tayari yanafanya kazi lakini special forces zao na vibaraka wao hawakujua kuwa kuna maghala ya silaha yanahitaji kudhibitiwa?

This is not a nightmare..it is a calculated move to give a pretext to send the forces, teams into Libya to search for and secure the " missing yellow powder" from Russia.
 
US searches for Libyan arms, warns of terror risk

zisome hizo habari between lines....walijua kuwa Gaddafi ana silaha nyingi, kuna watu walifanya kazi katika serikali ya Gaddafi ambao walijua siri zote ambao walijiunga na waasi aka wasaliti wa Libya. walijua wapi maghala ya silaha yalipo..kwa nini NATO hawakuyalipua haya? badala yake walikuwa wanadondosha mabomu katika residential areas?
Au yule mkuu wa majeshi wa waasi waliyemuua, sanussi!!?? hakujua habari hizi?
 
I will put my answers in red, within the quotation markup
*Mkuu kumbumbukumbu zinakukimbia kwa kasi...
Si kweli, bado hazijanikimbia (nafanyaga yoga kila siku!)

*Nani ameingiza silaha Libya...US-NATO, Qatar, France ambazo ndizo zinazoangamiza watu.
Ni zaidi ya hao, eg. Russia and China

*Hizo zinazozungumzwa hapa inawezekana kabisa ni kuongeza chumvi...idadi umeinukuu hapo, 20 000.
Hio idadi sio mimi nilieinukuu, soma chanzo cha habari

*Kama walikuwa so concerned kwa nini hawakutaka mzozo wa Libya ambao waliuanzisha utatuliwe kwa amani, majadiliano.
Hawakuanzisha mzozo wa Libya, sema labda waliudandia

*Bado sishawishiki kwa idadi iliyotajwa wala kusemwa ni nightmare.
Madhumuni yangu si kukushawishi. Hiyo nightmare niionavyo ni madhara ya silaha kusambaa kwenye nchi za jirani kama vile Chad, Niger, Nigeria au hata Algeria etc.

*Mabomba ya kusafirisha gesi kwenda ulaya tayari yanafanya kazi lakini special forces zao na vibaraka wao hawakujua kuwa kuna maghala ya silaha yanahitaji kudhibitiwa?
Ni mabomba gani unayozungumzia? Hata Gaddafi naye alishageuka kuwa kibaraka wa hao hao west unaowazungumzia.

*This is not a nightmare..it is a calculated move to give a pretext to send the forces, teams into Libya to search for and secure the " missing yellow powder" from Russia.
Unfortunately, I am not a fan of conspiration theories. I see no difference between Russians and Americans!
I stand to be corrected!
 
I will put my answers in red, within the quotation markupI stand to be corrected!

Mkuu Russia na China walikuwa wana-deal na serikali halali ya Libya...mbona unapindisha mambo hapa?
Hata Tz wananunua silaha kutoka nchi nyingi tu zinazotengeneza silaha.

Hapa tunazungumzia US-NATO. Qatar, France kutengeneza mzozo kwa propaganda ya vyombo vya habari na kuwapa silaha wasaliti wa Libya.
 
Vipi kuhusu John Major, John McCain, CIA na hata MI5? Just to mention a few! Hawa walikuwa wana-deal na serikali haramu?
 
Don't understimate others' ability to analyze world/African affairs, (just an advice)!

Hapa sijui unalobishia ni lipi....it is an open secret... AFRICOM na malengo yake Afrika. British and French colonialism mentality waliyonayo mataifa haya dhidi ya Afrika pia sio siri.

Au mkuu umeshasahau utabiri wa colonisation of Afrika kwa mara nyengine? Mkuu uendelee kufanya yoga kwa bidii.

Awamu ya pili ya ukoloni ndo imeshaanza barani Africa. Ninatabiri, (kwa kutumia mbinu za Sheikh Yahya) baada ya miaka ishirini ijayo waafrica itabidi tuingie msituni tena kupigania uhuru!

Naelewa wewe na maprofesa wetu ni wachambuzi wazuri tu wa mambo ya dunia na mambo ya Afrika...lakini hakuna anaehodhi elimu, maarifa peke yake. Tunapochanganya mawazo, tunaporusha hoja tofauti hata kama zinapingana ndipo tunapokuza upeo.
 
Hayo mabomba hayakuwepo wakati wa Gaddafi?

Mkuu
tunazungumzia concern yako hapa, a nightmare kama ulivyoitaja. "missing" silaha kama ni nightmare, suala hili lingepewa kipaumbele lakini kipaumbele ni gas na mafuta kwa terms zao, terms za US-NATO. na sio hii "nightmare unayoiona wewe au wanavyojidai kuona ni threat.

Gaddfi aliwapelekea kwa terms za serikali ya Libya kupitia shirika la mafuta la Libya.
 
Hapa sijui unalobishia ni lipi....it is an open secret... AFRICOM na malengo yake Afrika. British and French colonialism mentality waliyonayo mataifa haya dhidi ya Afrika pia sio siri.

Au mkuu umeshasahau utabiri wa colonisation of Afrika kwa mara nyengine? Mkuu uendelee kufanya yoga kwa bidii.

Naelewa wewe na maprofesa wetu ni wachambuzi wazuri tu wa mambo ya dunia na mambo ya Afrika...lakini hakuna anaehodhi elimu, maarifa peke yake. Tunapochanganya mawazo, tunaporusha hoja tofauti hata kama zinapingana ndipo tunapokuza upeo.
Asante kwa uhimizo, kwa hili sitoacha kwani sikuanza leo. Nawe endelea kutukomboa toka kwenye mawazo yetu ya kikoloni!
 
Back
Top Bottom