Jinamizi la G sport la inyemelea TTCL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinamizi la G sport la inyemelea TTCL

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by zacha, May 24, 2009.

 1. zacha

  zacha JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2009
  Joined: Feb 28, 2009
  Messages: 487
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  Tunakumbuka ile Kampuni iliyoingia hapa Tz ya G sport ilivyo kwishineyiiii, basi ile kitu nd' inainyemelea ttcl kwa sasa kwani kampuni hiyo kutokana na unyonyaji wake wa gharama kubwa za internet kwa wateja wake lakini bado inashindwa kusimama hadi kupelekea kuomba mkopo kwa mamlaka huska, na kama haitapewa huo mkopo ndani ya miezi sita basi inaweza kukumbwa na jinamizi lililoikumba kampuni ya G sport.................... to be continued
   
 2. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2009
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 340
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nilidhani umeandika g spot!
   
 3. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...who sayz so?
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  una lako sirini.....
  si bure mtu wewe
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  This is serious forum ndugu, there is special forum for jokes, tetesi and things of the kind.
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Kama unaona TTCL inakunyonya...si uhamie kwingine???ndio maana ya soko huria.....nenda hata Vodacom au kwingineko
   
 7. S

  Shangazi JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Kama kampuni ya taifa haitakiwi kunyonya wananchi
   
Loading...