Jina........

Smartmind

Member
Feb 17, 2011
31
6
Habari zenu wadau.

Jamani wadau wa humu ndani, mimi nataka kuanzisha kituo cha kusaidia watoto wa mitaani. na wewe mdau nakupa nafasi ya kuchangia kidogo unipe mawazo ni jina lipi litumike kwa kituo hiki? TUWAPENDE NA KUWASAIDIA WATOTO/WADOGO ZETU.
 
Jina tu ndilo limekukwaza au kuna mengine???

Nashauri ukiite "Kituo cha Mtakatifu Asprini"
 
.............kituo cha kuwasaidia watoto waishio katika mazingira mangumu..............
 
Proposal yako ilitumia jina gani? Au bado hata haujapata usajiri. Saint Likwanda children centre limetulia
 
Tupendane centre
watoto centre
kituo cha mapendo
kituo cha kusaidiana
kuleana centre
mapendo centre
tuwapende centre
nyumbani kwetu
 
Tupendane centre
watoto centre
kituo cha mapendo
kituo cha kusaidiana
kuleana centre
mapendo centre
tuwapende centre
nyumbani kwetu

Hivi watu wenye akili za kibonge nyanya hawawezi kuchanya mambo wakadhani umeanzisha ka-danguro kadogo?
 
How about Honorable Ngabu's Pathways Center au unaweza ukatupilia mbali hiyo honorable na ukabakiza tu Ngabu Pathways Center au Pathways tu peke yake...
 
weka jina la mtu umpendae maishani mwako ,
mtu ambae alikuwa Roll model katika maisha yako..
(mfano, mama, etc)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom