Habari zenu wadau.
Jamani wadau wa humu ndani, mimi nataka kuanzisha kituo cha kusaidia watoto wa mitaani. na wewe mdau nakupa nafasi ya kuchangia kidogo unipe mawazo ni jina lipi litumike kwa kituo hiki? TUWAPENDE NA KUWASAIDIA WATOTO/WADOGO ZETU.
Tupendane centre
watoto centre
kituo cha mapendo
kituo cha kusaidiana
kuleana centre
mapendo centre
tuwapende centre
nyumbani kwetu
weka jina la mtu umpendae maishani mwako ,
mtu ambae alikuwa Roll model katika maisha yako..
(mfano, mama, etc)
Mfano Money Nyani Ngabu....very inspirational name.
mmhhhh
Nadhani hilo la "Nyani" liko nje kidogo..
kumbuka ni kituo cha watoto..