Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,799
Kijijini nimekuta mtoto anaitwa Chike, nikauliza maana yake nini? Nikaambiwa eti ni Chicken' chips. Nikachoka, nikauliza sababu ya kumpa mtoto jina hilo nikaambiwa eti mama mtoto alikuwa hataki chakula kingine chochote zaidi ya chips kuku kipindi cha ujauzito wake.
Sasa sijui inakuwaje masahibu aliyokutana nayo mzazi yaathiri jina la mtoto.
Jamani tusiwape watoto majina kutokana na majanga yaliyotukuta.
Sasa sijui inakuwaje masahibu aliyokutana nayo mzazi yaathiri jina la mtoto.
Jamani tusiwape watoto majina kutokana na majanga yaliyotukuta.