Jina ni la nani? Mtoto au mzazi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Kijijini nimekuta mtoto anaitwa Chike, nikauliza maana yake nini? Nikaambiwa eti ni Chicken' chips. Nikachoka, nikauliza sababu ya kumpa mtoto jina hilo nikaambiwa eti mama mtoto alikuwa hataki chakula kingine chochote zaidi ya chips kuku kipindi cha ujauzito wake.
Sasa sijui inakuwaje masahibu aliyokutana nayo mzazi yaathiri jina la mtoto.
Jamani tusiwape watoto majina kutokana na majanga yaliyotukuta.
 
Hahahahaha hhahahahaah kweli umerudi, tulikumiss sana. Pole kwa matatizo yaliyokupata
 
:ballchain:

Yes, Buji is Back........The second coming of Buji..........

Sasa kwa mtaji huu si inamaanisha wale watoto waliopatikana kwa rushwa ya ngono waitwe "Ruyango"
 
mhola nkingwa??
natumaini mlimpumzisha salama mzee wetu..
wellcome back
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom