Jina "Nairobi" limetokana na lugha ya Kimasai

Mji wowote Kenya unaoanza na neno "Na" ulikuwa makaazi ya Wamaasai zamani kabla ya Wakoloni kuja. Kuna miji kama Nairobi, Narok, Nakuru na Naivasha.

Wamaasai walikua wababe sana, ila siku hizi wengi wameelimika na kufanya mambo ya kisasa, kule Bongo ndio bado wanachakaza Watanzania balaa, wanateka mashamba ya mahindi na kuingiza mifugo yao humo ijitafunie.
 
Hilo tumelifahamu tangu elimu ya msingi, Wamaasai asili yao ya kuhamahama (nomads) iliwezesha wakatunga majina ya maeneo mengi sana, kuanzia Arusha huko Tanzania mpaka Nairobi.
Walihamahama wapi? Yaani ninyi mnataka kuwadhulumu wamaasai ardhi yao ya asili? Nairobi ni asili ya maasai kama Arusha ilivyo.
 
Mji wowote Kenya unaoanza na neno "Na" ulikuwa makaazi ya Wamaasai zamani kabla ya Wakoloni kuja. Kuna miji kama Nairobi, Narok, Nakuru na Naivasha.
Kwanini ulikua na sio mpaka sasa? Ninyi wakikuyu wezi sana wa ardhi za watu, Tanzania pamoja na kwamba maasai asili yao ni Arusha lakini utakuta population kubwa mno ya maasai Tanga, Morogoro, Kilimanjaro, Pwani na kote huko wanamilki maeneo makubwa saa nyingine kuliko wenyeji.

Je kwa Kenya inawezekana hii?
 
Wamaasai hawakai mahali pamoja, wanazurura na kuzunguka na mifugo sasa walinyang'anywa shamba zao na Wakoloni. Nairobi, Nakuru na Naivasha zilichukuliwa na Mkoloni wakati alikuwa anajenga reli kutoka Mombasa hadi Kampala. Maasai hangeweza kupigana na mkoloni.
 
Wamaasai walikua wababe sana, ila siku hizi wengi wameelimika na kufanya mambo ya kisasa, kule Bongo ndio bado wanachakaza Watanzania balaa, wanateka mashamba ya mahindi na kuingiza mifugo yao humo ijitafunie.
Mmaasai anafanya ujinga kama huo lakini inabidi utie kimya kwa maana ukimzomea anatoa rungu na kukupiga kichwani nacho. Sasa inabidi utazame kimya wakati mahindi yako yanaliwa na mifugo yao.
 
Ilianza na Nyarobi ikaja Narobi na sasa ni Nairobi baadaye itakuwa Nairobbery.
Baadacya hapo inafuatia NAIROBI THE GREEN SHIT IN THE SLUM ,na wanaoishi hapo wanajulikana kama MASLUMIST MONGOLIA
 
Kwanini ulikua na sio mpaka sasa? Ninyi wakikuyu wezi sana wa ardhi za watu, Tanzania pamoja na kwamba maasai asili yao ni Arusha lakini utakuta population kubwa mno ya maasai Tanga, Morogoro, Kilimanjaro, Pwani na kote huko wanamilki maeneo makubwa saa nyingine kuliko wenyeji.

Je kwa Kenya inawezekana hii?
Tony254 kajifunga kwa kinywa chake mwenyewe
 
Back
Top Bottom