Jina lina mahusiano yoyote na mahusiano ya Wapenzi?

DERICK2000

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
203
35
Naomba kuuliza swali.je jina la mtu na mahusiano yanamaana?.kuna mtu anaitwa nelson mpenzi wake anaitwa rose.wameachana,watu wakasema hata majina yenu hayaruhusu kuwa pamoja.ni kweli na ndo nini?..na unajuaje majina yanaweza wafanya muachane mbeleni.achilia mbali mambo ya love calculator.yaani jina tu,litaleta utata mbeleni jamani.msaada,maana sielewi..
 
''...ukimchunguza alacho bata hutaweza kumla...fahamu maana ya mapenzi ya dhati na muwajibike kila mtu kwa nafasi yake na si jina la mpenzi"... hiyo dhambi ya ubaguzi kwani ukitoka kwenye majina , utaambiwa kabila, kisha rangi, kisha dini nk.
 
inahusu sana tuuuuuuuuuuuu, those who falls in a pit they didn't look ahead before they make a move, very little things matters
 
Yapo majina yanayoendana na maisha ya mtu. Mfano watu wanaopewa majina ya (Shida, Matatizo, Tabu, Masumbuko) hawa waangalie kwenye maisha yao utawakuta wana vipindi vichache sana vya kuwa na furaha kwani maisha yao huwa yanaendana na maana ya majina yao. hivyo wazazi tuwe makini na majina tunayowapa watoto wetu. Hayo majina yako ya Nelson na Rose mbona yapo poa tu!. Kuachana kwao hakuhusiani na maana majina yao.
 
Mimi binafsi nadhani uhusiano wajina na maisha ya ndoa upo; ila sina ushahidi wa kitafiti kuweza kuthibitisha hili. zaidi nimesikia na pia nimeshuhudia ndo za baadhi ya watu ninaofahamiana nao, mmoja wa wanandoa hubadilisha jina wakati wa kufunga ndoa. Wengine hurefusha au hufupisha jina. eg. Rose naweza kujiita Rosemary, Asha anaweza kujiita Ashamagdalena n.k. Wanaume pia. So may be there is a meaning on doing that
 
no connection whatsoever... hata kama mmoja anaitwa NNYA na mwingine KOJO bin LEO mambo yataenda poa tu mbona..
 
Back
Top Bottom