Jina lake halisi ni hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jina lake halisi ni hili!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tatanyengo, Apr 25, 2011.

 1. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tangu mchungaji wa KKKT huko Samunge - Loliondo kuanza kutibu maradhi sugu jina lake limekuwa likitajwa au kuandikwa kwa kukosewa na hivyo kumwita majina yasiyo yake. Jina lake ni AMBILIKILE MWAISAPILE na siyo vinginevyo.
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  haijalishi jina lake ni nani, kwan limeleta athari gani kwenye biashara yake na matibabu yake? aitwe babu, loli boy, mwasapuli, babu ambi sijaskia athar zozote kama ww umesikia tuambie
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kweli wakati mwingine wengine wanasema eti Ambilikile Masapile, ila haina athari sana kwa shughuli yake.
   
Loading...