Jina la Zitto latumika kwenye utapeli

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
BAADA ya watu kumzushia maboa mengi ndani na nje sasa watu wameamua kutumia jina lake kutapeli watu
hivi ndivo inavoonekana kwenye blog yake ; mti mzuri nimeaamini....

*****MATAPELI WAIBUKA UPYA -CHUKUA TAHADHARI ********

Narudi tena, Sihusiki na mfuko wa mikopo unaotangazwa kupitia Mitandaoni. Sijaanzisha ZittoKabwe Foundation. Puuzeni watu wanaotangaza mikopo kwa jina langu. Nimejulisha tena vyombo vya dola suala hili ili kukamata matapeli wanaotumia jina langu kuibia Watanzania.

Wanatumia akaunti feki cc picha



1555323_684897191530981_1716501846_n.jpg
 
hasitahili heshima. Mtu haeleweki,kigeugeu,msaliti,muongo n.k hawezi kumaminiwa na wenye akili, ataendelea kupendwa na wajinga na kuchukiwa na wenye akili
 
chamuhimu wasaliti wakafie mbali kimkakati na kisiasa hatuwahitaji ktk safari ya ukombozi wa pili na 2014 wanalo
 
kuna watu wanatakiwa wakamatwe ila sijui serikali yetu Wizara ya mambo ya ndani Upande wa Cyber unafanya nini.
Tuasubiri madhara yatokee kesi zije ndio tufanye uchunguzi au tunatakiwa tufuatilie kabla ya madhara kutokea zaidi
 
Back
Top Bottom