jina la uwanja (CCM kirumba) kuzorotesha mahudhurio mechi ya yanga na toto!!!!!

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
hii nimeipata toka kwa baadhi ya wahafidhina wa kisiasa wanaojipanua na alama ya vema, wanadai hawawezi kuipigia promo chani kiwiti. kama kuna ukweli wowote yeyote anaweza tupia hapa.
 
Kwa kulijua hilo wamechukua hatua ya kushusha kiingilio ili kujaribu kuwashawishi wana mwanza ambao bado wanatafakari kilichopelekea wabunge wao kuvamiwa na kukatwa katwa kwa silaha za jadi kwa uratibu "kiaina" wa polisi.
 
Yanga yenyewe chama.
yanga ilianzishwa kabla ya ccm, ilianzishwa mwaka 1935,Tanu ilianzishwa mwaka 1957,CCM ilianzishwa mwaka 1961,Uhusiano kati ya yanga na ccm upo wapi hapo,au unafananisha rangi?Mbona Rage CCM lakini kiongozi wa simba acha unafki wa kike.....nimekupa LIKE kimakosa irudishe!:A S-omg:
 
Kwani tokea unajengwa mbona wahudhuriaji walikua wanapatikana? Maybe mechi ya leo haina mvuto
 
yanga ilianzishwa kabla ya ccm, ilianzishwa mwaka 1935,Tanu ilianzishwa mwaka 1957,CCM ilianzishwa mwaka 1961,Uhusiano kati ya yanga na ccm upo wapi hapo,au unafananisha rangi?Mbona Rage CCM lakini kiongozi wa simba acha unafki wa kike.....nimekupa LIKE kimakosa irudishe!:A S-omg:

mkuu ccm sio 05/02/1977?
pengine rage kule simba alichaguliwa baada ya kuonyesha kitu kiunoni! kwii kwiii kwi, hiyo like isikuume sana kwa kuwa nawe historia haijakaa sawa.
 
yanga ilianzishwa kabla ya ccm, ilianzishwa mwaka 1935,Tanu ilianzishwa mwaka 1957,
CCM ilianzishwa mwaka 1961,Uhusiano kati ya yanga na ccm upo wapi hapo,au unafananisha rangi?Mbona Rage CCM lakini kiongozi wa simba acha unafki wa kike.....nimekupa LIKE kimakosa irudishe!:A S-omg:

??????
 
mkuu ccm sio 05/02/1977?
pengine rage kule simba alichaguliwa baada ya kuonyesha kitu kiunoni! kwii kwiii kwi, hiyo like isikuume sana kwa kuwa nawe historia haijakaa sawa.
am sory kipady za computa nilio tumia ilikuwa haina namba hizo!
 
am sory kipady za computa nilio tumia ilikuwa haina namba hizo!

Poa mkuu, Nimeipenda hiyo kibodi, mwanao akiitumia kichwa yake itakuwa fresh from ccm history. to be frank nimecheka sana.
 
Si wawaambie CCM wawalete watu kutoka vijijini kama wanavyofanyaga kwenye mikutano yao?
Lakini kwa wakazi wa Mwanza wanahasira sana na jina CCM labda hiyo mechi ichezwe furahisha ndio wataenda.
 
Back
Top Bottom