Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Wakati chama cha Mwanasheria Tanganyika (TLS)wakifanya semina katika ukumbi wa AICC jijini Arusha ,jina na Tundu Lisu limetawala kwa baadhi ya wanachama ambao wamesikika wakibishana kuhusu nani awe rais wa chama hicho huku wengi wao wakionyesha kuwa na imani na Mbunge huyo wa Singida Mashariki
Uchanguzi huo unatarajiwa kufanyika tar 18 ,mwezi huu,ukitanguliwa na semina inayoendelea sasa katika ukumbi huo wa kimataifa.
Uchanguzi huo unatarajiwa kufanyika tar 18 ,mwezi huu,ukitanguliwa na semina inayoendelea sasa katika ukumbi huo wa kimataifa.