denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,512
- 68,141
Hakimu aliruhusu kesi iendelee baada ya jina kurekebishwa, kama jina lilipatiwa mwanzoni wakati wa kesi inaanza kusikilizwa sioni sababu kwanini mashahidi waitwe upya, mashahidi kabla ya kutoa utetezi wao huulizwa kama wanamtambua mtuhumiwa, nao hujibu ndio, kisha kumuwekea mtuhumiwa mkono begani ndipo huanza kutoa ushahidi dhidi ya mtuhumiwa.