Jina La Rais Jakaya M. Kikwete Kuongoza Marais 100 watakaomzika Nelson Mandela Leo

JK ndiye "atakayeongoza" mazishi hayo! Hivi, kwa "uzoefu" wa kuongoza/kuhudhuria mazishi, kuna Rais yoyote dunia hii anamkaribia JK? Sasa na nyie mnabisha nini? Ni "wivu wa kike" tu umewajaa! :eyebrows::heh:
 
Unajua vitu vingine mnapoandika na kutaka sifa za KIJINGA muwe mnatumia AKILI, embu Niambie kunasehemu yeyote hapo alipotajwa KIKWETE? au HATA TANZANIA?

1471135_10151902879451156_1435573065_n.jpg

Kaka bora umeleta uthibitisho. Kwa sababu nimeuliza hapa nikatukanwa sana.
Tatizo la wabongo vilaza hawaulizi na ni wavivu wa kufuatilia mambo. JK wala hakuna mtu anayemjua huko SA
 
unayeleta thread kama hii inabidi uwe na uelewa juu ya uzalendo...nitarudi baadaye.
 
Kaisha vunja rekodi ya Rais Obasanjo;hii ni safari yake ya 361 dhidi ya 360 za Obasanjo(Nipo tayari kukosolewa nikikosea tarakimu)
Hii safari ni mojawapo ya safari pungufu kabisa ya hesabu uliyotoa ambayo angelazimika kwenda. jk anakwea sana mpipa. Nyingi ya safari angeweza kuwakilishwa.
 
Kwa kweli hili jambo linashangaza.

Kwa kigezo gani cha kumfanya Kikwete aongoze mazishi ya Mandela?

Au rekodi yake ya kuhudhuria mazishi ya watu wa jamii mbalimbali, wakiwemo hata watu wa kawaida sana, ndilo limempandisha chati, hadi kupewa wadhifa huo, wa kuongoza viongozi wote duniani, katika mazishi hayo ya mzee Mandela, mtu anayeaminika kuwa, miongoni ya watu mashuhuri sana, walioishi katika karne hizi ya 20 na 21?
Hii habari ipo kwenye gazeti la mwananchi. Mleta hii topic ndio amepotosha kichwa cha habari. Huu ndio upuuzi wa JF. Hakuna standard. Huwezi kunukuu habari ya gazeti halafu ukaiukaaingiza huko maneno yako. Habari ni kama ilivo kwenye gazeti, kichwa cha habari ni tofauti. This is not acceptable
 
Uwe una unasoma thread mpaka mwisho, unaweza ukawa ni ujinga pia.
 
Kaka bora umeleta uthibitisho. Kwa sababu nimeuliza hapa nikatukanwa sana.
Tatizo la wabongo vilaza hawaulizi na ni wavivu wa kufuatilia mambo. JK wala hakuna mtu anayemjua huko SA
JK hata kama angekuwa maarufu hana haki ya kuongoza mazishi ya kiongozi aliye kinyume chake kwa asilimia 100. Hebu fikiria visasi vya JK ulinganishe na roho ya msamaha ya huyu anayeagwa!!
 
JK hata kama angekuwa maarufu hana haki ya kuongoza mazishi ya kiongozi aliye kinyume chake kwa asilimia 100. Hebu fikiria visasi vya JK ulinganishe na roho ya msamaha ya huyu anayeagwa!!

Babu seya, na wakuu wa mikoa wakiompinga wote wapo exile
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom