Jina la Mtaa maarufu huko Kinshasa...

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,191
18,457
Salim Kikeke wa BBC akiwa mtaani...
AAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.jpg
 
Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!
 
ama kweli haya majina yana utata kweli, labda kwao huko ni jina la mtu maarufu, kwani hapa Taz kuna mkoa mmoja wa kaskazini kuna majina ambayo ni pacha na hilo jina la mtaa huo, na maisha yanasonga mbele na hata redioni wkt wa vipindi vya msiba hilo jina hutamkwa
 
Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!
mmmh hivo hata nyimbo zao neno hilo halipo ? huwa nasikiaga ya ajabu!!
 
Cha kushangaza ni kwamba mtaa huu upo in the country where Swahili is a national language, with more than 30M Congolese speaking Swahili. Haya ni makusudi tu, maana hilo neno halina maana kwa kikongo, tshiluba wala lingala (the 3 other national languages). lina maana kwa kiswahili tu!
Mtaa wenyewe umepakana na Av. Batetela, na Batetela speak swahili!

Ila Kinshasa hawazungumzi kiswahili ni kifaransa na lingala......South Kivu and North Kivu ndio kiswahili sana...
....Hilo mbona north kivu kuna eneo linaitwa Mbo.ro ...hata uki google unalipata...majina kama haya kwa congo naona wanaona kawaida tu.
 
Nani kasema hawaongei Kiswahili Kinshasa? Kinshasa is the capital city, lugha zote za Kongo wanaongea, na zaidi since aFDL, jeshi, intelligence na wizara nyingi zinatumia kiswahili because they come from the east. Hapo in bold I beg to differ...
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom