Jina la mpenzi wa zamani layumbisha ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jina la mpenzi wa zamani layumbisha ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, May 17, 2011.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Ni miezi miwili imepita tangu ndoa hii imefungwa,lakini iko kwenye misukosuko mikubwa baada ya mume kila akilala amekuwa akiota ndoto na kujikuta akitamka kwa sauti jina la mpenzi wake wa zamani kabla hajaoa,binti analalamik kuwa hata wakati wa "gemu"jamaa utamu ukikolea anajikuta anatamka jina hilo,binti anataka kudai talaka!!!!Adai au aamue kuvumilia?Maana akimuuliza mume wake anamwambia asihofu kwani yeye ndo mke wa ndoa na hana mahusiano na huyo mdada kwa muda huu!!
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Daaahhh
  miezi miwili tu mmhh
  Kama huyo kaka yuko hivyo
  Basi ye ameoa ile ya usanii tu
  Yaelekea akili yake na moyo wake
  uko kwa mtu mwingine.. kweli hawezi hata
  kuficha hii hatari.. usema ukweli huyo dada anatakiwa aanze kufikiria realy hard kuhusu hili sababu naona kapenda asipopendwa na tabia kama hii no ngumu sana kubadilisha ..
   
 3. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mie nadhani inatakiwa atafute mechanisms ya kumfanya aidha amuote yeye au aache kuota au hata yeye msikilizaji aache kusikia. Moja ya mbinu ni yeye huyo dada kuigiza kama naye anaota mpenzi wake wa zamani, hata kulala na radio ipo on ili asimsikie ninahakika huyo mwanaume akiona hasikiwi ataacha kuota. Kuota gani huko kama si makusudi, humtaki mtu si unamwambia kuliko kumletea vituko!!! ebo!
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hivi kweli unaweza kumkataza mtu kuota?????
   
 5. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hamna muotaji hapo ni msanii tu. Inawezekana na huyo mwanamke alilazimisha ndoa. Kuna watu wanadhani pesa zao zinaweza kununua upendo na hatimaye au ndoa na hatimaye upendo. Maisha ni safari ndefu saana kujifanya unavumilia visivyovumilika ni kujitesa na kupunguza furaha tu.
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ok sasa
  unafikiri jamaa anajifanya anaota?? Ni sababu gani tu unadhani inayomfanya afanye hayo kwa mkewe??
   
 7. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inategemea huyo binti kaingiaje kwenye hiyo ndoa, kama alimuingilia mwenzie akamtoa kwa mbinu zake, alitegemee hilo. Jina litatajwa mpaka akimbie mwenyewe, bado sasa wakigombana mashtaka yote yatakua yanaenda kwa huyo anaetajwa jina. Kwa kawaida sign ya kwanza ya kumpenda mtu ni kumtajataja hata kwenye story za kawaida, ndugu kama hutajwi basi ujue umedandia kwa mbele. Sioni cha kushauri hapo nachoweza kusema asubiri then time will tell.
   
 8. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hamtaki na hana confo ya kumwambia hamtaki. Kwahiyo ni miongoni mwa vituko. Subiri kama haitafuta post nyingine anamletea mwanamke hapo na kusema rafiki au anapokea SMS za mpenzi wake wa zamani. Infact, hakuwa tayari kumuoa huyo binti. Wanatakiwa wakae chini ili wajue wanasonga mbele au ndio wameshafika mbele na kila mtu aanze maisha yake. Wewe ndoto gani mfululizo za mtu huyohuyo. Ndoto mara nyingi ni matokeo ya kile anachowaza mtu, sasa wewe yeye anamuwaza huyo mwanamke for two months. Duh usanii duniani hautaisha. Unalala jamaa ananung'unika pembeni huku akitaja jina la mwanamke mwingine.
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duhhh
  ni miezi miwili tu..
  Haya mkuu nimekusoma..
  Sasa unafikiri jamaa anataka bibie
  Amwache ili ye asionekane mmbaya au.???
   
 10. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  unajua watu wengi hawana amani katika maisha ya ndoa. Aidha wanasubiri sababu itokee na km haitokei wanaweza kuianzisha kwa vituko, au wanaogopa watu kuchukua uamuzi, au dini zao na wengine wanaishi tu kwasababu wanawaonea huruma wenzi wao.
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhhhh
  Kweli ka ulivyosema mwanzo
  ni usanii tu..asante kwa majibu
  yako yote.. :)
   
 12. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kabla wakati wa uchumba alikuwa hamtaji? au ndio mambo ya kuolewa na bikira? haya mambo bwana ndio unapokuja umuhimu wa microphone test, ili usije jut badae. anakuwa na wewe huku anaendelea kuchombeza na bibi yake wa zamani sababu tu wewe unasubiria ndoa. vumilia umeyataka mwenyewe
   
 13. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  :angry::nimekataa:shut-mouth::faint:
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  May 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  The way thread imekaa ni kama ya walakini kiana... But hata hivyo ukifunga ndoa unapata majaribu mengi ambayo yanawapa majaribu ya imani na mapenzi mlo nayo juu ya kila mmoja - ni wazi kua inajulikana mwanaume lazima alikua na wanawake wengine kipindi cha nyuma hivyo tofauti iliopo ni kwamba tu anamtaja huyo Ex... Katika majaribu yaliyopo kwenye ndoa hilo tatizo ni dogo ila sababu huyu dada ni 2 months old in marriage yaweza mchanganya... Mapenzi ya kweli juu ya mtu huchukua mda kuisha, dada ajitaidi kuelewa kua huyo kaka nae mwanadamu na sidhani kama anapenda hivyo anavyofanya.... Ila uzuri maamuzi ni yake dada kusamehe au kutosamehe....
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Ndoa hii inayumba mbaya kwani leo nimepata taarifa kuwa hakuna mawasiliano kati ya wanandoa hawa,hawasalimiani wala kuzungumza wanapoamka asubuhi kila m2 na hamsini zake
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Ndoa hii inayumba mbaya kwani leo nimepata taarifa kuwa hakuna mawasiliano kati ya wanandoa hawa,hawasalimiani wala kuzungumza wanapoamka asubuhi kila m2 na hamsini zake
   
 17. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,721
  Trophy Points: 280
  Karogwa huyo. Wife apige maombi. Kwani mtu lazima kuota au kutaja majina wakati wa majambozi. Nguvu za giza zipo. Huyo dada apige maombi mwenzie atakuwa kamkalia vibaya labda alitaka aolewe yeye. Sidhani kama ni usual mtu kuota nakuongea majina. Eeh . Uchawi upo jamani mpeni yesu au mtume ndoa zenu awalindie! Kama hana evidence kuwa wanendelea, ajue yeye bado ni chaguo ila mwenzie anafanya kitu mbaya!
   
 18. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hapo kwenye bold nimepata msamihati mpya leo hahahahahah
   
 19. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ni dhahiri kuwa jamaa hamtaki huyo mwanamke. Bado inabidi abebe lawama kwa kukubali kufunga ndoa ambayo haitaki. Miezi miwili ni michanga mno kwa mtu kuanza migogoro kwani sasa ilibidi wawe na harufu ya 'asalimwezi'.
   
 20. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  big up nyumba kubwa,unajua watu wengne hawaamin kama kuna uchaw,nguvu za giza zipo ila nguvu za mungu ni zaid,agonge maombi
   
Loading...