Wana JF naandika uzi huu ili tuujadili.
Mh. Rais Magufuli kusema ukweli tuache haya mengine huyu rais kafanya makubwa kwa muda mfupi sana. Anahitajika KUKUMBUKWA na KUTAMBULIWA kama kiongozi jasiri anyeona mbali.
Moja ya jambo hilo ni kufufua shirika letu la ndegeATCL ambalo lilikuwa limekufa KABISA.
Ili VIZAZI vingine vijavyo viweze kumkumbuka Magufuli kama rais aliyeliweka kulifufua shirika letu la ndege miongoni mwa mambo mengi makubwa aliyoweza kuyafanya katika muda mfupi sana.
Sisemi kwamba yeye hana mapungufu bali kwa ukweli kabisa ATCL inahitaji iweze kuliweka jina la MAGUFULI katika moja ya ndege zetu kubwa.
Sina maana ya KU REPLACE nembo na JINA la ATCL bali jina iandikwe pale MBELE ya ndege UBAVUNI Kushoto na Kulia kama yalivyo mashirika menhgine ya ndege ambayo kando ya jina la Shirika la ndege pale mbele HUANDIKWA jina lolote.
Ndo maana hata jirani zetu baadhi ya ndege zina jina KILIMANJARO wakati mlima uko kwetu.
Mimi naona jina lake liandikwe UBAVUNI..
Si kwamba yeye atajivuna bali sisi pia kama Watanzania tutajivuna na kukumbuka tulikuwa na rais aliyebadilidha mambo.
Wakuu mwaaonaje?

Last edited: