Jina la kitaalamu la tunda hili na mti huu ni nini?

Online Pastor

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,948
1,515
Tunda hili huitwa mtogo na matunda yake huitwa matogo kwa kinyiramba.

Kinyamwezi huitwa mahonda,na karibu kila lugha ina jina lake.

Matunda yake yakiiva huwa matamu ya huwa magumu kabla ya kutafunwa,na huwa malaini kama makamasi.

Wanyiramba huyaita bigiji ya asili.

Naomba jina la kitaalamu ya haya matunda na mti wake.
 
Matogo yakiwa hayajaiva.
Matogo.jpg
 
Miss Natafuta

Ahahaha

Hapana,nataka kujua kama unaitwaje kisayansi,ili iwe laisi kuwashirikisha wazungu fulani marafiki zangu ili waweze kuufanyia biological engineering.

Nataka nipate mbengu inayozaa ndani ya miaka mitatu toka kupandwa hadi mavuno kama ile mbengu mpya ya miembe.

Kwani huku niliko kuna wanyiramba wanaoyahitaji,kwa kuwa wako mbali na makwao,huwa wanayanunua hata kwa 50 kwa kila tunda moja.

Hivyo nimeona fursa ya biashara.
 
Back
Top Bottom