Jina la kitaalamu la tunda hili na mti huu ni nini?

Tunda hili huitwa mtogo na matunda yake huitwa matogo kwa kinyiramba.

Kinyamwezi huitwa mahonda,na karibu kila lugha ina jina lake.

Matunda yake yakiiva huwa matamu ya huwa magumu kabla ya kutafunwa,na huwa malaini kama makamasi.

Wanyiramba huyaita bigiji ya asili.

Naomba jina la kitaalamu ya haya matunda na mti wake.

IMG_5972.jpg
 
Back
Top Bottom