Jina la kitaalamu la tunda hili na mti huu ni nini?


Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,969
Likes
1,487
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,969 1,487 280
Tunda hili huitwa mtogo na matunda yake huitwa matogo kwa kinyiramba.

Kinyamwezi huitwa mahonda,na karibu kila lugha ina jina lake.

Matunda yake yakiiva huwa matamu ya huwa magumu kabla ya kutafunwa,na huwa malaini kama makamasi.

Wanyiramba huyaita bigiji ya asili.

Naomba jina la kitaalamu ya haya matunda na mti wake.
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,969
Likes
1,487
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,969 1,487 280
jipu

Nitajie scientific name ya tunda na mti wake
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,969
Likes
1,487
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,969 1,487 280
Miss Natafuta

Ahahaha

Hapana,nataka kujua kama unaitwaje kisayansi,ili iwe laisi kuwashirikisha wazungu fulani marafiki zangu ili waweze kuufanyia biological engineering.

Nataka nipate mbengu inayozaa ndani ya miaka mitatu toka kupandwa hadi mavuno kama ile mbengu mpya ya miembe.

Kwani huku niliko kuna wanyiramba wanaoyahitaji,kwa kuwa wako mbali na makwao,huwa wanayanunua hata kwa 50 kwa kila tunda moja.

Hivyo nimeona fursa ya biashara.
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,969
Likes
1,487
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,969 1,487 280
Saguda47

Kitaalamu unaitwaje?
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,969
Likes
1,487
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,969 1,487 280
chaliifrancisco

Nimelikopi na kulipesti hilo naona Google wananiambia kuwa ni jamii ya fungi.

Mkuu,ebu saidia saidia hapa
 
varangati

varangati

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Messages
1,667
Likes
1,425
Points
280
Age
29
varangati

varangati

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2017
1,667 1,425 280
Tunda mlenda hilo ukila linatoa mlenda mdomoni
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,969
Likes
1,487
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,969 1,487 280
Mtanana

Shukrani,waweza nitajia jina lake la kisayansi?
 
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
1,969
Likes
1,487
Points
280
Online Pastor

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
1,969 1,487 280
figthter

Kilugha gani hiko?

Waweza nitajia jina lake la kisayansi?
 

Forum statistics

Threads 1,251,189
Members 481,615
Posts 29,761,823