Jina la jelly ya kulainisha uke wa mke wangu

iyo ni Tigo tu, hakuna chochote bana, af matumizi ya K-Y mmeyabadilisha sana hiyo sio kazi yake.wapendwa kile kitu kikitendewa haki yake kinafunguka bila ajizi.
 
Mate yako yana kazi gani?
Unataka kum...... mkeo?

Unachotaka kufanya ni sawa na maharage yakatae kuiva halafu unayaponda kwa mwiko, jibu ni kuwa hayajaiva tu na hayatakuwa na ladha.

You've made ma day ma dia lol.............
ila jamvi hili linavituko sana tu.
 
Jamani lakini kwani KY jelly matumizi yake nini hasa? hii ilikusudiwa for vaginal lubriction hasa wakati wa clinical investigations. Mara nyingi akina mama wenye matatizo ya uzazi Dr anapovaa gloves ili amwingize mkono(vidole) ili ampime huwa anaumia sana manake glove ni kavu so hii jelly huwa inasaidia kulainisha ili mkono wa upite.

Pia kwa wale ambao vaginl secretions ni pungufu ama hazitoshi basi waweza saidiwa na hii jelly manake iko sterile. Matumizi ya mate siyo mazuri manake kinywa kina wadudu wengi ambao wanaweza kunekana kwenye mate so kumlainisha kwa mate mwenzio ni hatari sana. waweza kumuingizia bacteria walioko kinywani.

bacteria kama Actinobacillus actinomycetemcomitans, Tannerella forsythia, and total streptococci wanaozalishwa kwenye buccal epithelia cells wanaweza kuwepo hivyo be very smart on using it.

ushauri wangu wa bure kama wewe ni mgonjwa wa jino au meno au unafangas kinywani dont dare use your saliva uutamcontaminate mwenzi wako na magonjwa ya ajabu. nafikiri Kongosho umenielewa kidogo ingawa ningemuomba Mzizi mkavu atuelezee vizuri kidaktari. hii imekaa kialimu sana
 
Last edited by a moderator:
Kwa hivyo tuseme na hii ni Kinga ya VVU eeh?! Kama TRUVADA...:bange:
Ingia pharmacy uulizie KY, hii kitu safi sana. Kuna rafiki yangu aliweza kupewa mimba na muathirika bila kumuambukiza virusi, ni kwa sababu walikuwa wanatumia KY
 
Nitaipata wapi kwa hapa dsm? na bei yake tafadhali..naihitaji sana hii jelly.
 
Jamani lakini kwani KY jelly matumizi yake nini hasa? hii ilikusudiwa for vaginal lubriction hasa wakati wa clinical investigations. Mara nyingi akina mama wenye matatizo ya uzazi Dr anapovaa gloves ili amwingize mkono(vidole) ili ampime huwa anaumia sana manake glove ni kavu so hii jelly huwa inasaidia kulainisha ili mkono wa upite.

Pia kwa wale ambao vaginl secretions ni pungufu ama hazitoshi basi waweza saidiwa na hii jelly manake iko sterile. Matumizi ya mate siyo mazuri manake kinywa kina wadudu wengi ambao wanaweza kunekana kwenye mate so kumlainisha kwa mate mwenzio ni hatari sana. waweza kumuingizia bacteria walioko kinywani.

bacteria kama Actinobacillus actinomycetemcomitans, Tannerella forsythia, and total streptococci wanaozalishwa kwenye buccal epithelia cells wanaweza kuwepo hivyo be very smart on using it.

ushauri wangu wa bure kama wewe ni mgonjwa wa jino au meno au unafangas kinywani dont dare use your saliva uutamcontaminate mwenzi wako na magonjwa ya ajabu. nafikiri Kongosho umenielewa kidogo ingawa ningemuomba Mzizi mkavu atuelezee vizuri kidaktari. hii imekaa kialimu sana
Ni kweli kama unavyosema kuhusu hiyo KY jelly kazi yake ilikuwa ni kutumika kwa madaktari kupima mambo ya uzazi tumboni sio kwa mambo ya ngono.Mkuu.@Tafakuru inaonekana wewe ni mgeni kuhusu kufanya mapenzi na mwanamke?Unatakiwa

umuandae mpenzi wako kimapenzi haswa unapokuwa nae kitandani mchezee sehemu zake za siri kwa kutia

vidole kama unavyo andika wewe kwenye keyboard yako kwenye Laptop yako huku unamnyonya maziwa au ulimi

kwa muda wa dakika 5 utaona huko sehemu za siri zinatoka maji ndipo hapo unaweza kumuingilia kimapenzi

fanya hivyo ikishindikana tafuta mafuta ya zaituni mpake kidogo kwenye utupu wake njia itakuwa laini na

utaweza kuingiza kiurahisi. Jaribu kisha uje hapa unipe Feedback.

ukiacha hizo dawa mbadala, ni bora utegemee uasilia kutoka kwa mwenza. kama yupo tayari viashiria vipo. usipoviona kuna haja kuona wataalamu wa afya.
 
Mate yako yana kazi gani?
Unataka kum...... mkeo?

Unachotaka kufanya ni sawa na maharage yakatae kuiva halafu unayaponda kwa mwiko, jibu ni kuwa hayajaiva tu na hayatakuwa na ladha.

mpendwa sledi zingine ni aibu. Jelly hutumiwa na wafanyabiashara wasiokuwa na ashki za mapenzi. Mwandae mkeo vizuri bana atoe jelly yake (uteute) kitu kiingie chenyeweeee. mate yanatumiwa na wabakaji
 
Vilevile kuna KUNDI HILI LA WANAWAKE WAKAVU. Wameumbwa hivyo. Mara nyingi inataka wachezewe sana mpaka wao wanachoka. Anajiona yuko tayari na anakuambia hivyo ila kuingia ingakuwa ngoma nzita. Mara nyingi mnaishia kwenye kuumizana na vidonda. Ni maumbile. Katika dunia ya leo hizo ndiyo solutions za matatizo kama haya. Huu ndiyo ukweli kuhusu haya matatizo.

HAKUNAGA MWANAMKE MKAVU. Anakuwa hayuko tayari. ama amechoka/amekuchoka, hana feeling za mapenzi hajaandaliwa kwa tendo. Acheni kuwapanda wapenzi/wale zenu kama kuku. Akiwa tayari zashuka zenyewe na utamfikisha. akiwa mkavu ujuwe UNAMBAKA kila siku!!!!

mate yanatumiwa na wabakaji

Jelly inatumiwa na prostitutes kulainisha njia
 
Wadau naombeni jina la kimiminika kisichokua na madhara kwa mtumiaji kwa ajili ya kumlainisha mke wangu sehem zake. Hii ni kwa ajili ya kumpa foreplay(sehem muhim sana hi kitandani) ya kutosha na vimassage kabla ya kumuingilia.

Kwa anaefaham naomba anisaidie tu jina ana bei yake.

Durex (massage and play lubricant..)
:)
 
Wadau naombeni jina la kimiminika kisichokua na madhara kwa mtumiaji kwa ajili ya kumlainisha mke wangu sehem zake. Hii ni kwa ajili ya kumpa foreplay(sehem muhim sana hi kitandani) ya kutosha na vimassage kabla ya kumuingilia.

Kwa anaefaham naomba anisaidie tu jina ana bei yake.
Tumia ky aisee iko safi sana manake hata ukitia kule kunakuwa lainiiii sembuse huko tena
 
Back
Top Bottom